
Kila mchezaji wa kasino mtandaoni anajua namna mzunguko mmoja unavyoweza kubadilisha kila kitu. Lakini sasa, Meridianbet imeleta kitu kikubwa zaidi, ni kampeni mpya kabambe inayojulikana kama Mystery Multiplier Drop Campaign, ambayo tayari imeibua hisia na gumzo kubwa kwa wapenzi wa kasino.
Kampeni hii ya kipekee ilianza 25 Agosti na itaendelea hadi 31 Agosti. Ndani ya hizi siku 3, kila mzunguko utakaokua unaucheza ni tiketi ya ushindi. Na hii ni sehemu ya mpango maalumu kutoka Meridianbet ambao umeweka zaidi ya TZS Bilioni 15 kwa zawadi, ishara ya dhahiri kwamba kampuni inathamini wateja wake na inataka kuwazawadia.
Kila aliye na akaunti ya Meridianbet anapata nafasi sawa ya kuibuka na ushindi. Haijalishi unacheza kwa dau dogo au kubwa, kila mzunguko ni nafasi mpya ya kufurahia ushindi. Hata ukishinda kwa kutumia bonasi, zawadi unazopata bado zinahesabiwa, zikikupa fursa ya kushinda mara mbili zaidi.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Tofauti na promosheni zingine zinazojaza masharti magumu, Mystery Multiplier inakupa nafasi ya moja kwa moja kushinda. Fanya tu kitu rahisi, ingia kwenye michezo ya Wazdan, weka dau lako, na utashuhudia burudani ya moja kwa moja, zawadi ya pesa taslimu ikija bila utaratibu mgumu.
Wachezaji wa kasino mtandaoni, huu ni wakati wenu wa kujaribu bahati. Michezo ya Wazdan imekusubiri Meridianbet. Kila mchezo unaoucheza unaweza kuwa hatua moja karibu na mshangao wa pesa taslimu, au pengine ushindi mkubwa unaoweza kubadilisha maisha yako.
Mystery Multiplier siyo promosheni ya kawaida. Ni mlango wa fursa mpya, msisimko wa kipekee, na zawadi kubwa zinazokusubiri. Huu ndiyo wakati wa kuingia kwenye mchezo, na kuacha bahati ikupangie safari ya ushindi.
Tembelea Meridianbet sasa, chagua mchezo wako wa Wazdan, weka dau lako, na jiandae kushuhudia mshangao wa pesa taslimu. Kwenye Meridianbet, kila mchezo ni zaidi ya burudani, ni daraja la mafanikio na msisimko usioisha.
ZINAZOFANANA
Furahia ushindi kila siku na Non-Stop Win&Go Drop
Ruby Play kukupatia burudani ya kutosha ndani ya Meridianbet
Serikali yapunguza kodi ya uingizaji wa vitenge