HABARI MCHANGANYIKO TAMISA: Wawekezaji sekta ya madini wapeni kipaumbele Watanzania February 8, 2026 Erasto Masalu CHAMA cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kimezitaka kampuni za kigeni zinazowekeza katika sekta ya madini nchini kuhakikisha zinatoa kipaumbele kwa Watanzania katika ajira, utoaji wa huduma…
HABARI ZA MICHEZO Mechi moto, Odds kubwa! Bashiri na Meridianbet ujishindie leo February 8, 2026 Erasto Masalu Mechi kibao za moto kupigwa siku ya leo huku wakali wa ubashiri wakiwa tayari wamekupa nafasi ya kushinda. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi leo. EPL…
BIASHARA Jackpot ya bilioni 2 inaanzia na 500/= Tu kwa Meridianbet February 8, 2026 Erasto Masalu Kila wiki soka hutupa hisia, furaha, huzuni na mijadala mbalimbali vijiweni, lakini vipi kama safari yako ya mpira ingeanza kukulipa kweli? Meridianbet inaleta Jackpot inayobadilisha namna unavyoitazama mechi. Kwa 500/=…
HABARI ZA MICHEZO Tengeneza pesa mechi za leo na Meridianbet February 7, 2026 Erasto Masalu Je unataka Odds kubwa siku ya leo?. Ingia kwa wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet na uanze safari yako ya kutimiza ndoto zako hapa. Weka dau lako ulitakalo sasa na ubeti…
BIASHARA Si bahati tu, ni uamuzi unaokupa ushindi kwenye Super Heli Premium February 7, 2026 Erasto Masalu Meridianbet Tanzania inakuleta kwenye enzi mpya ya kasino mtandaoni kupitia Super Heli Premium, mchezo unaothibitisha kuwa ushindi haupatikani kwa bahati pekee, bali kwa uamuzi sahihi. Kila raundi ni nafasi ya…
SIASA Mahakama Kuu Z’bar yaipiga stop ZEC kuteketeza nyaraka za uchaguzi February 6, 2026 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar, Masjala ya Tunguu imeamuru Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), kusitisha mpango wake wa kuharibu nyaraka za uchuguzi mkuu wa mwaka jana. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar…
SIASA Spika Zungu amkingia kifua mbunge aliyeshindwa kuongea kiingereza February 6, 2026 Erasto Masalu SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu, amewataka Watanzania kujivunia lugha yao ya Kiswahili na kuepuka kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kukashifu viongozi. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Rais Museven kuwasili Tanzania kesho kwa ziara ya kikazi February 6, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumamosi 7 Februari 2026, kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Kwa mujibu…
SIASA Bunge lisijadili matundu ya choo, lijadili mambo ya msingi – Prof. Kitila February 6, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema ni wakati sasa Bunge lijikite kujadili masuala makubwa ya msingi ya maendeleo badala ya kushughulikia hoja ndogondogo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Spika aitaka Serikali iweke maeneo ya kihistoria ya Papa Leo XIV February 6, 2026 Erasto Masalu SPIKA wa Bunge Mussa Zungu amesema kuna haja serikali ikaweka maeneo ya kihistoria Tanzania, ambayo Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV aliishi alipokuwa nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu,…