KIMATAIFA Ndege ya abiria yatua baharini kwa dharura Mogadishu February 10, 2026 Erasto Masalu NDEGE moja ya kiraia iliyokuwa na watu 55 imetua baharini karibu na uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aden Adde mjini Mogadishu, baada ya rubani kufanya uamuzi wa kutua karibu…
KIMATAIFA SIASA Tanzania kujisogeza Ulaya, Zungu apiga hodi Serbia February 10, 2026 Erasto Masalu WAKATI uhusiano wa Tanzania na mataifa ya Ulaya ukiyumba Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu amefanya mazungumzo ya kikazi na Spika wa Bunge la…
HABARI MCHANGANYIKO TAMISA yataja maeneo 20 muhimu ya ‘kupiga pesa’ kwenye madini February 10, 2026 Erasto Masalu CHAMA cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kimebainisha maeneo 20 muhimu ambayo Serikali imeyaainisha hivi karibuni kwa Watanzania waweze kushiriki kikamilifu na kunufaika na sekta ya madini.…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet kukupatia ushindi mkubwa leo February 10, 2026 Erasto Masalu Ikiwa ni mwaka mpya una nafasi ya kubadilisha maisha yako na Meridianbet kwani hapa ndipo unapata kila unachokitaka. ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 yanakungoja wewe. Ingia na ubashiri sasa.…
BIASHARA Meridianbet wawashirikisha iMoon kuinogesha michezo ya kasino mtandaoni February 10, 2026 Erasto Masalu Meridianbet wameitambulisha rasmi iMoon Gaming, mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino mtandaoni, akiiletea tasnia mapinduzi makubwa ya burudani na ushindi. Huu ni ujio wa jukwaa lililojengwa kwa teknolojia ya…
HABARI MCHANGANYIKO MAKALA & UCHAMBUZI SIASA TANGULIZI Niandike,niseme nini kuhusu Lowassa? February 10, 2026 Erasto Masalu NIANDIKE nini kuhusu Edward Lowassa aliyekuwa Waziri Mkuu, ambaye leo, 10 Februari 2026, imetimia miaka miwili tangu afariki dunia jijini Dar es Salaama na kuzikwa kijijini kwake Monduli. Anaandika Zakia…
BIASHARA Waziri Mkuu azindua kituo kikubwa cha CNG Puma Energy February 9, 2026 Erasto Masalu KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imezindua rasmi Kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) kilicho kikubwa na cha kisasa zaidi barani Afrika. Kituo hicho cha kihistoria kimezinduliwa na Waziri Mkuu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu alalamika kuchelewa kesi yake February 9, 2026 Erasto Masalu TUNDU Antipas Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameilalamikia Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kumcheleweshea kesi yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
BIASHARA Dau dogo, zawadi kubwa Samsung A26 inakusubiri Meridianbet February 9, 2026 Erasto Masalu Je unajua kuwa kwa dau dogo tuu unaweza kujiweka kwenye nafasi ya ushindi na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo kupitia promosheni ya Beti Online unaweza ukaondoka na Samsung A26. Weka…
BIASHARA Kila siku ni nafasi mpya ya kufurahi kwa Win&Go ya Meridianbet February 9, 2026 Erasto Masalu Burudani ya kweli ni pale mchezaji anapohisi kuthaminiwa kila wakati, si tu anaposhinda. Ndiyo maana Win&Go inaleta mtazamo mpya wa mchezo, mtazamo unaokuruhusu kucheza kwa uhuru, kufurahia kila droo, na…