HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kesi ya Lissu yaanza kunguruma February 13, 2026 Erasto Masalu KESI inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania – Tundu Lissu, tayari imeanza kusikilizwa leo, Ijumaa tarehe 13 Februari 2026. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mahakama: Kumnyima chakula Lissu ni kukiuka haki za binadamu February 12, 2026 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imesema kuwa kitendo cha maofisa wa magereza kumnyima chakula Tundu Lissu anayeshtakiwa katika mahakama hiyo kwa tuhuma za uhaini kimeikuka haki za…
HABARI MCHANGANYIKO TAMISA yashiriki Kongamano la madini Afrika Kusini February 12, 2026 Erasto Masalu CHAMA cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kinashiriki katika Kongamano la Kimataifa la Madini ( Mining Indaba 2026) linaloendelea jijini Cape Town, Afrika Kusini, kwa lengo la…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu amaliza kumbana shahidi wa siri wa nne sasa amsubiri watano February 12, 2026 Erasto Masalu SHAHIDI wa nne wa serikali ambaye ni shahidi wa siri aliyepewa utambulisho wa ‘P5’ kwenye kesi Na.19605 ya mwaka 2025 inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…
BIASHARA Taarifa zote za michezo njoo Meridianbet Sport Portal February 12, 2026 Erasto Masalu Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa…
BIASHARA Kila sekunde ni fursa ya kubeba mamilioni na Super Heli Premium February 12, 2026 Erasto Masalu Kuna mchezo wa kasino unaokuweka uso kwa uso na sekunde, hapa ndiko Super Heli Premium ya Meridianbet inapoanza. Hapa ushindi hauji kwa bahati tu; unakuja kwa sekunde unazochukua na uamuzi…
HABARI ZA MICHEZO Leo hii mkwanja wa maana upo Meridianbet February 11, 2026 Erasto Masalu Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa. COPPA…
BIASHARA Jumatano ya zawadi sasa kukupa Samsung A26 mpya February 11, 2026 Erasto Masalu Kwa wengi, Jumatano ni siku ya kawaida tu ya kuendelea na upambanaji lakini kwa Meridianbet, ni mwanzo wa hadithi mpya ya bahati. Kupitia kampeni ya Jumatano ya Zawadi, Meridianbet wameipa…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Homera azitaka bodi za Udhamini kujiepusha na ubadhirifu wa mali za umma February 11, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Juma Zuberi Homera, amezitaka Bodi za Wadhamini zinazosimamia taasisi zisizo za kiserikali, taasisi za kidini, michezo na taasisi nyingine zinazotoa huduma kwa jamii kujiepusha…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mahakama yaamuru kujengwa kizimba maalumu kwa ajili ya mashahidi wa siri February 11, 2026 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imeamuru kufanyiwa marekebisho kwa kizimba kinachotakiwa kutumiwa na shahidi wa siri ili aweze kuonekana na majaji wakati wa utoaji ushahidi. Anaripoti Fedrick…