BIASHARA Waziri Mkuu azindua kituo kikubwa cha CNG Puma Energy February 9, 2026 Erasto Masalu KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imezindua rasmi Kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) kilicho kikubwa na cha kisasa zaidi barani Afrika. Kituo hicho cha kihistoria kimezinduliwa na Waziri Mkuu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu alalamika kuchelewa kesi yake February 9, 2026 Erasto Masalu TUNDU Antipas Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameilalamikia Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kumcheleweshea kesi yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
BIASHARA Dau dogo, zawadi kubwa Samsung A26 inakusubiri Meridianbet February 9, 2026 Erasto Masalu Je unajua kuwa kwa dau dogo tuu unaweza kujiweka kwenye nafasi ya ushindi na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo kupitia promosheni ya Beti Online unaweza ukaondoka na Samsung A26. Weka…
BIASHARA Kila siku ni nafasi mpya ya kufurahi kwa Win&Go ya Meridianbet February 9, 2026 Erasto Masalu Burudani ya kweli ni pale mchezaji anapohisi kuthaminiwa kila wakati, si tu anaposhinda. Ndiyo maana Win&Go inaleta mtazamo mpya wa mchezo, mtazamo unaokuruhusu kucheza kwa uhuru, kufurahia kila droo, na…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu atinga mahakamani, alakiwa na mamia ya washabiki wake February 9, 2026 Erasto Masalu BAADA ya kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu (TL), kughairishwa kwa siku 88, hatimaye leo Jumatatu, tarehe 9 Februari 2026, mwanasiasa huyo ametinga tena…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Tuzo za ZICA: NBC yaibuka kinara uwezeshaji miradi ya ujenzi Zanzibar February 8, 2026 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeibuka mshindi kwenye Tuzo za Kimataifa za Ujenzi Zanzibar (ZICA Awards) baada ya kutunukiwa tuzo ya Benki Bora katika Kuwezesha Miradi ya Ujenzi Zanzibar…
SIASA TANGULIZI Serikali kujibu hoja za Lissu, kumpinga shahidi wa siri kesho February 8, 2026 Erasto Masalu NI siku 88 tangu kuahirishwa kwa shauri la uhaini Na. 19605/2025 linalomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kesho tarehe 9 Februari shauri hilo linaendelea kusikilizwa…
HABARI MCHANGANYIKO TAMISA: Wawekezaji sekta ya madini wapeni kipaumbele Watanzania February 8, 2026 Erasto Masalu CHAMA cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kimezitaka kampuni za kigeni zinazowekeza katika sekta ya madini nchini kuhakikisha zinatoa kipaumbele kwa Watanzania katika ajira, utoaji wa huduma…
HABARI ZA MICHEZO Mechi moto, Odds kubwa! Bashiri na Meridianbet ujishindie leo February 8, 2026 Erasto Masalu Mechi kibao za moto kupigwa siku ya leo huku wakali wa ubashiri wakiwa tayari wamekupa nafasi ya kushinda. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi leo. EPL…
BIASHARA Jackpot ya bilioni 2 inaanzia na 500/= Tu kwa Meridianbet February 8, 2026 Erasto Masalu Kila wiki soka hutupa hisia, furaha, huzuni na mijadala mbalimbali vijiweni, lakini vipi kama safari yako ya mpira ingeanza kukulipa kweli? Meridianbet inaleta Jackpot inayobadilisha namna unavyoitazama mechi. Kwa 500/=…