HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Ayatollah Ali Khamenei: Kiongozi Mkuu wa Iran athibitika kuawa March 1, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amefariki dunia, saa chache baada ya taifa lake na Israel kufanya mashambulizi makubwa nchini Iran. Anaripoti Mwandishi…
KIMATAIFA TANGULIZI Kuna dalili za kiongozi mkuu wa Iran kuuawa February 28, 2026 Erasto Masalu MAOFISA wa ngazi ya juu wa Israel wanasema, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamanei, ameuawa kwa makombora. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa…
HABARI MCHANGANYIKO Tumuenzi Kardinali Pengo kwa ukweli – Jaji Warioba February 28, 2026 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ametoa wito kwa jamii kuenzi maisha ya Polycarp Kardinali Pengo, kwa kuzingatia maadili, uaminifu na uzalendo aliyouishi wakati wa kipindi chake cha uongozi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Nchimbi akemea magomvi ya kivyama February 28, 2026 Erasto Masalu BALOZI Emmanuel Nchimbi, makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano amesema, hafurahishwi na magomvi yanayoendelea kati ya chama chake – Chama Cha Mapinduzi na upinzani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
BIASHARA Ukuaji wa kimataifa waibadili Golden Matrix Group kuwa Meridian Holdings Inc February 28, 2026 Erasto Masalu Kampuni ya Golden Matrix Group imetangaza rasmi kubadilisha jina lake na kwa sasa itatambulika kama Meridian Holdings Inc, ikiwa ni hatua inayoashiria ukuaji wake kimataifa. Kuanzia tarehe 3 Machi 2026,…
BIASHARA Vaso Psycho kukupa nafasi ya mbinu zako kukutana na bahati February 28, 2026 Erasto Masalu Kwa wapenzi wa ushindi mkubwa kwenye michezo ya kasino mtandaoni, Meridianbet imeleta Vaso Psycho kama suluhisho jipya la burudani ya kisasa. Huu ni mchezo unaowaalika wachezaji kuamini katika uwezo wao…
HABARI ZA MICHEZO Malengo yako yatatimia ukibashiri na Meridianbet February 28, 2026 Erasto Masalu Meridianbet siku ya leo wanasema hivi una nafasi ya kutimiza malengo yako endapo utasuka jamvi lako na Meridianbet. Timu kutoka ligi mbalimbali zitapigwa na hii ndio nafasi yako ya kutengeneza…
KIMATAIFA TANGULIZI Marekani, Israel yaishambulia Iran February 28, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Marekani, Donald Trump, amechapisha video ya dakika nane kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na kuthibitisha kuwa taifa lake, limehusika katika shambulizi dhidi ya Iran. Anaripoti…
BIASHARA Raoma, Vodacom wazindua mfumo wa Kidijitali ‘SOMO’ chini ya Kampeni ya Twende Zetu Darasani February 28, 2026 Erasto Masalu TAASISI isiyo ya kiserikali ya RAOMA Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc leo wamezindua mfumo mpya wa kidijitali wa elimu unaoitwa SOMO, chini…
BIASHARA Ushindi upo mikononi mwako na Vaso Psycho ya Meridianbet February 27, 2026 Erasto Masalu Jambo kubwa kwa sasa kwenye ulimwengu wa ubashiri na michezo ya kasino mtandaoni na wale wote wanaotafuta burudani ya michezo ya mtandaoni ni upatikanaji wa mchezo mpya wenye msisimko kupitia…