HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI ‘Meli iliyokamatwa na Cocaine nchini El Salvador ilisajiliwa nchini’ February 26, 2026 Erasto Masalu GERSON Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, amesema meli inayokamatwa na madawa ya kulevya aina ua kokeni, nchini El Salvador, ilisajiliwa visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
BIASHARA NBC yakabidhi gari kwa Mshindi wa Kampeni ya Huduma za Kidigitali February 26, 2026 Erasto Masalu Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi kuu za kampeni yake ya “Ukigusa Tu, iMOOO” kwa washindi wakubwa watatu wa kampeni hiyo ikiwemo zawadi kubwa ya gari aina Nissan…
HABARI ZA MICHEZO Tengeneza pesa mechi za Europa leo February 26, 2026 Erasto Masalu Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa. Celtic…
BIASHARA Aspect Gaming & Superspade Games kuleta balaa kwa kasino mtandaoni Meridianbet February 26, 2026 Erasto Masalu Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa ni kinara wa ubunifu kwa kuunganisha teknolojia ya kisasa na wabunifu wakubwa wa michezo duniani. Jukwaa hili linatoa zaidi ya michezo ya kawaida, linatoa uzoefu wa…
SIASA TANGULIZI Wamekimbilia Mahakama ya Rufani ili kumkomoa Lissu, haikubaliki kisheria February 25, 2026 Erasto Masalu MKURUGENZI wa Sheria na haki za binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wakili Gaston Galubindi, amesema kuwa kitendo cha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kukimbilia Mahakama ya Rufani kupinga…
HABARI ZA MICHEZO Beti UEFA na Odds tamu za Meridianbet February 25, 2026 Erasto Masalu Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo hapa na ubashiri leo. Lakini pia unaweza ukaibuka bingwa kwani…
BIASHARA Shinda Samsung A26 kutoka Meridianbet kila wiki ukicheza Super Heli February 25, 2026 Erasto Masalu Meridianbet inawapa wapenzi wa kasino mtandaoni fursa ya kipekee ya kushinda kila wiki. Ukiwa mchezaji wa Super Heli, sasa unaweza kujishindia simu mpya ya kisasa ya Samsung A26, huku ukiendelea…
HABARI MCHANGANYIKO RITA yavunja bodi ya wadhamini Kanisa la Waadventista Wasabato February 25, 2026 Erasto Masalu WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imeivunja rasmi Bodi ya Wadhamini ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania kufuatia kubainika kwa mapungufu makubwa katika usimamizi wa mali na utekelezaji wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kesi ya Lissu yasimama, Serikali yakimbilia Mahakama ya Rufaa February 24, 2026 Erasto Masalu KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imeendelea kuwa kaa la moto, baada ya serikali kukimbilia mahakama ya rufaa kupigania ushahidi uliokataliwa. Anaripoti…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Wafanyabiashara Shinyanga watakiwa kushiriki zoezi la elimu ya mlipa kodi February 24, 2026 Erasto Masalu MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amewataka wananchi wa mkoa huo kutoa ushirikiano kikamilifu kwa maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanaopita katika sehemu zao za biashara kwa…