BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Meridiansport yaikumbuka jamii, yatoa msaada faraja Care Orphanage Centre December 24, 2025 Erasto Masalu Meridiansport imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kusaidia jamii kwa kuwatembelea watoto yatima wa Faraja Care Orphanage Centre waliopo Mburahati, ikiwaletea msaada wa kipekee unaolenga kuboresha maisha yao ya kila siku.…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI 2025, mwaka mchungu usiosahaulika December 23, 2025 Erasto Masalu NI takriban siku tisa zimesalia kabla ya kuhitimisha safari ya siku 365 za mwaka 2025 ambao umeingia kwenye historia ya kutawaliwa na matukio mabaya yaliyotia doa historia ya Tanzania kuwa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Jeshi la Polisi ni mwendo wa ‘kukanusha’ December 23, 2025 Erasto Masalu JESHI la polisi nchini limeingia kwenye rekodi ya kutoa makanusho mengi kwa muda mfupi kupitia mitandao yake ya kijamii kila linapohusishwa na jambo fulani . Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es…
HABARI ZA MICHEZO Tandika jamvi lako la ushindi hapa December 23, 2025 Erasto Masalu Michuano ya AFCON barani Afrika inaendelea lakini pia kuna mechi nyingine nyingi zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka nafasi ya ushindi na Meridianbet sasa. Katika kundi C, kutakuwa…
BIASHARA Meridianbet Missions kubeba thamani ya ushindi kila mzunguko December 23, 2025 Erasto Masalu Kasino za kawaida zinacheza kwa bahati, lakini Meridianbet imetengeneza mfumo mpya unaochukua kila mzunguko wa sloti na kuubadilisha kuwa hatua ya ushindi, Meridianbet Missions. Hapa, kila jukumu ni fursa ya…
HABARI ZA MICHEZO Suka jamvi na mechi za AFCON leo December 22, 2025 Erasto Masalu AFRICA CUP OF NATIONS( AFCON) 2025 haya ni mashindano ya soka barani Africa ambayo yanatarajiwa kufanyika huko nchini Morocco kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026 ambapo timu…
BIASHARA Trick or Treat Bonanza ndani ya Meridianbet, sherehe ya ushindi inaanza sasa December 22, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inaleta tukio lisilo la kawaida kwa wapenzi wa michezo ya kasino, Trick or Treat Bonanza. Huu sio mchezo wa kawaida, bali ni fursa ya kuingia kwenye sherehe ya vishawishi,…
HABARI MCHANGANYIKO Samia atuma salamu za pole kwa Jaji Mallaba December 22, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa familia, ndugu na jamaa wa aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu, Julius Mallaba, aliyefariki dunia Ijumaa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Serikali iko tayari kusikiliza, ili kulinda umoja – Simbachawene December 22, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema, Serikali itaendelea kuthamini na kushirikiana na viongozi wa kiroho na kidini katika kujenga taifa linaloheshimi haki, amani, usalama na mshikamano wa kitaifa.…
HABARI ZA MICHEZO ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1,000 yapo hapa December 21, 2025 Erasto Masalu Jumapili ndio hiyo imefika, na wajanja wote wanabashiri na Meridianbet mechi zao zote. Wewe unangoja nini leo?. Ingia kwenye akaunti yako sasa na utengeneze jamvi lako hapa. Unaweza kupiga pesa…