HABARI MCHANGANYIKO Sita kizimbani kwa kuisababishia Serikali hasara ya Bil 2.1 January 7, 2025 Erasto Masalu WAFANYABIASHARA sita wa jijjni Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni (Kinondoni), wakikabiliwa na mashitaka 68 yakiwamo ya kupotosha mfumo na kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania…
BIASHARA Kasino spesho kwa wanawake na wanaume, Sloti ya Fashion Night January 7, 2025 Erasto Masalu Hadithi za kale zina mafundisho mengi sana ndani yake, baadhi ya tungo hizo zilikuwa na lengo la kubadili mitazamo ya watu na nyingine ni kuburudisha, kuna hii hadithi ya Mfalme…
BIASHARA Sloti ya Findi the Diamonds ushindi ni kugusa tu January 7, 2025 Erasto Masalu Tanzania ni nchi iliyobarikiwa migondi mingi sana ya madini, na moja ya madini yenye thamani kubwa sana ni madini ya Almasi yanapatikana Zaidi Mwadui Mkoani Shinyanga pamoja na Maganzo. Meridianbet…
ELIMU CHAKUHAWATA yafanya mkutano wa kurekebisha Rasimu ya Katiba January 7, 2025 Erasto Masalu WAKATI chama cha Walimu Tanzania CWT wakijiandaa na chaguzi zao kuanzia ngazi ya matawi hadi taifa chama cha kulinda na kutetea haki za walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) nao wamefanya mkutano wao…
SIASA TANGULIZI Makala apata kigugumizi kinachoendelea Chadema January 7, 2025 Erasto Masalu LEO Januari 7 2025 Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makala amekataa kuzungumzia mihemuko ya baadhi ya makada wa chama hicho kuhusu uchaguzi…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mvua zakatisha mawasiliano kwa wananchi wa Ulanga January 7, 2025 Erasto Masalu MAISHA ya wananchi katika kijiji cha Mzelezi, kata ya Ruaha, wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, yamebadilika ghafla baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mto Ruaha kuhama mkondo wake na…
HABARI ZA MICHEZO Mechi za pesa leo hizi hapa January 6, 2025 Erasto Masalu Ni Jumatatu nyingine ya kuondoka na mshindo ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yakiwa hapa. Suka jamvi lako la ushindi sasa. EPL…
BIASHARA Cheza Sloti ya 100 Super Icy ushinde mikwanja leo January 6, 2025 Erasto Masalu Shinda mkwanja wa kutosha kwa kucheza Sloti ya 100 Super Icy ambayo imekua ikiwapa watu wengi mkwanja mjini, Wewe tu ndio umebaki huu ndo wakati wako sasa wa kuibuka na…
KIMATAIFA Waziri Mkuu wa Canada kujiuzulu? January 6, 2025 Erasto Masalu JUSTIN Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada, huenda akatangaza kujiuzulu ndani ya siku chache, kulingana na ripoti za vyombo vya habari. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Anafikiria kujiuzulu kama kiongozi…
ELIMU Wanafunzi 86 St. Anne Marie Academy wachaguliwa shule za vipaji maalum January 6, 2025 Erasto Masalu WANAFUNZI 86 kati ya 156 wa shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam waliohitimu darasa la saba wamechaguliwa kujiunga na shule za…