HABARI MCHANGANYIKO Serikali yaeleza mchango wa Sekta binafsi nchini April 16, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na kutekeleza mikakati mbalimbali ya nchi kwani zina mchango mkubwa…
BIASHARA Wildfire Wins kasino inakufanya tajiri. Cheza sasa. April 16, 2025 Erasto Masalu Unataka kuitwa Bosi wa Mtaa? Cheza Kasino leo ushindi ni rahisi, kupitia michezo ya kasino iliyopo Meridianbet unaweza kujikuta unaibuka na ushindi wa Mamilioni. Jisajili sasa Kuwa moja ya Matajiri…
SIASA TANGULIZI Othman Masoud: Tunaingia kwenye uchaguzi mkuu Oktoba tukiamini sisi ni washindi April 16, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema wanaingia kwenye uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu wakiamini wao ni washindi katika uchaguzi huo kwa nafasi ya…
HABARI MCHANGANYIKO TAMISEMI yaweka Dira ya matumaini 2025/26 April 16, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 yenye takribani Sh. 11.783 trilioni kwa ajili ya wizara na taasisi…
SIASA ACT Wazalendo yajizatiti kulinda thamani ya kura za wananchi April 16, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT Wazalendo kupitia Kamati ya Uongozi ya Taifa imeamua kuwa Chama hicho kitashiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa nafasi zote kwani kususia uchaguzi kutaimarisha hujuma zaidi…