October 13, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

UEFA Champions League imerejea na mikwanja

 

Ligi ya mabingwa barani ulaya itaendelea leo baada ya michezo kadhaa kupigwa jana na watu kunyakua vitita vya kutosha, Hivo leo tena ni fursa kwako kuweza kupiga mkwanja kutokana na michezo itakayochezwa.

Miamba ya soka kadhaa leo itashuka katika viwanja mbalimbali kuhakikisha wanaianza vyema michuano hii msimu wa 2024/25, Michezo ya leo imepewa Odds kabambe pale Meridianbet kazi ni kwako tu kuweka mkeka unyakue mamilioni.

Mchezo wa kibabe leo na wa kisasi utakua kati ya Manchester City Vs Inter Milan ambapo utarejesha kumbukumbu za fainali ya michuano hii mwaka 2023, Ambapo Man City waliibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri hivo leo Inter Milan watakua wanahitaji kulipa kisasi ni mchezo mzuri kuutazama lakini pia kutengeneza hela.

Borussia Dortmund wanafainali wa michuano ya hii msimu uliomalizika leo wanatupa karata yao ya kwanza kwenye michuano hii msimu huu wakiwa ugenini dhidi ya Club Brugge, Mchezo ambao Dortmund amepewa nafasi kubwa ya kuibuka na matokeo ya ushindi.

PSG wakiwa wameuanza msimu vizuri sana leo wakiwa nyumbani wanacheza mchezo wao wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Girona kutoka nchini Hispania, Mchezo ambao unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa lakini PSG wakitarajiwa kuendelea na moto waliouanza nao msimu huu.

Celtic kutoka nchini Scotland leo watamenyana na klabu ya Slovan Bratislava kutoka Slovakia mchezo ambao umepewa Odds bomba sana pale Meridianbet, Hivo kazi kwako kuwekau ubashiri wako uweze kunyakua kitita.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

About The Author