Habari Mchanganyiko

Machinga Makoroboi Mwanza walia na viongozi kuuza maeneo

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo (machinga) katika soko maarufu la Makoroboi jijini Mwanza, wanaulalamikia uongozi wa Muungano wa Machinga Tanzania (Shiuma) kutokana na vitendo vyao vya kuuza maeneo ya machinga kwa mabavu ...

Read More »

AfDB yaikopa Tanzania Bil 414 kuipendezesha Dodoma

SERIKALI ya Tanzania imepewa mkopo wenye masharti nafuu wa zaidi ya Sh. 414 bilioni kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa ...

Read More »

Mkurugenzi TPDC, wenzake wafutiwa kesi

JAMES Mataragio, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petrol (TPDC), ameachwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo tarehe 19 Agosti 2019. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hatua hiyo imetokana ...

Read More »

Hali tete MNH: waliofariki ajali ya moto Moro wafika 97

IDADI ya majeruhi wa ajali ya Lori la mafuta ya petrol lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro, na kisha kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), inendelea kupungua ...

Read More »

Hakimu, Serikali wakwamisha kesi ya Kabendera

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imehairisha kesi namba 75 ya mwaka 2019 inayomkabili mwandishi wa kujitegemea wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera kutokana na upande wa Serikali kushindwa kukamilisha ...

Read More »

Serikali kupiga mnada mamba, viboko

DAKTARI Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii amesema serikali imeamua kuuza asilimia 10 ya mamba wote nchini ili kupunguza changamoto ya wanyama wakali kuvamia maeneo ya watu. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Palestina yawalilia waliopoteza maisha ajali ya moto Morogoro 

NCHI ya Palestina imetoa pole kwa serikali ya Tanzania kufuatia vifo vya watu 93 vilivyotokea katika ajali ya mlipuko wa tenki la mafuta mkoani Morogoro tarehe 10 Agosti 2019. Anaripoti ...

Read More »

Nusu ya majeruhi Morogoro waliohamishiwa Muhimbili wafariki

MAJERUHI wanne kati ya 25 wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro waliokuwa wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamepoteza maisha jana tarehe 16 Agosti 2019. Anaripoti ...

Read More »

Ajali nyingine Moro, wanne wafariki 

WATU wanne wamepoteza maisha huku 26 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Safari Njema likitokea Dar es Salaam lilipogongana na Lori usiku wa kuamkia leo tarehe 16 Agosti ...

Read More »

Papa aridhia Kadinali Pengo kustaafu, Askofu Ruwa’ichi ampokea

OMBI la Kadinali Polycarp Pengo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kung’atuka madarakani, limeridhiwa na Papa Francisko. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Papa Francisko amebariki ombi la Kadinali Pengo kuondoka ...

Read More »

Mwanza yatekeleza miradi ya maji ya 788 Bil

JUMLA ya miradi 17 ya kimkakati katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, yenye thamani ya Sh. 788 bilioni inaendelea kutekelezwa. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Lengo la kutekelezwa kwa miradi hiyo ...

Read More »

‘Mganga mfufuaji’ adakwa Ruvuma

DEO Mapunda, mkazi wa Ruvuma anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutapeli wananchi kwa kujifanya mganga wa kienyeji. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizunguma na mtandao huu leo ...

Read More »

Ajali ya moto Moro: Vifo vyaongezeka

MAJERUHI saba kati ya 32 waliokuwa wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wamefariki dunia usiku wa kumkia leo tarehe 15 Agosti 2019. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020: Makaburi ya Albino yaanza kufukuliwa

WATU wasiofahamika, wamefukua baadhi ya makaburi ya watu wenye Ualbino katika maeneo kadhaa nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa za karibuni kabisa zinasema, makaburi ya watu wawili wenye Ualbino ...

Read More »

Waziri Mkuu Majaliwa mgeni rasmi Siku ya Vijana Duniani

KASIM Majaliwa, Waziri MKuu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana duniani, ambapo kitaifa yanafanyika jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Siku ya Vijana duniani ...

Read More »

Sheikh Ponda ‘watu wasiojulikana’ wanaichafua nchi

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, amesema kuwa vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana vinaichafua taswira ya nchi. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Mufti Zubeir: Tunachonganishwa

SHEIKH Abubakar Zubeir, Mufti Mkuu wa Tanzania ‘amelalamikia’ kuchongwanishwa kwa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) na serikali. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Amesema, (bila kutaja jina ama taasisi) watu ...

Read More »

Waziri Mkuu aongoza watanzania mazishi ya watu waliofariki ajali ya moto

KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu Tanzania ameongoza maelfu ya watanzania mazishi ya watu zaidi ya 60 waliofariki kwenye mlipuko wa  lori la mafuta  baada ya kupinduka jana mtaa wa Itigi Msamvu ...

Read More »

Kukamatwa kwa Kabendera utata mtupu

KUKAMATWA na kushtakiwa kwa Mwandishi wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera kumedaiwa kuwa kuna mashaka. Anaaripoti Faki Sosi … (endelea). Tamko la wadau wa habari na haki za binadamu lilotolewa  leo ...

Read More »

Waziri Mkuu Majaliwa aunda tuwe kuchunguza ajali ya moto Morogoro

WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imeunda tume ya wataalam mbalimbali kuchunguza kama mamlaka za serikali ziliwajibika ipasavyo katika kudhibiti ajali ya moto iliyotokana na lori la mafuta iliyosababisha vifo ...

Read More »

Viongozi wa Serikali watua Morogoro kuweka mambo sawa ajali ya moto

BAADA ya vifo vya watu takribani 60 vilivyotokana na lori la mafuta kuwaka moto mkoani Morogoro viongozi mbalimbali wamewasili mkoani hapa kwa ajili ya kusimamia taratibu zote za kusafirisha mili ...

Read More »

Vifo vya ajali ya lori la mafuta vyaishtua serikali, vyama vya siasa

SERIKALI na vyama vya siasa nchini vimetuma salamu za pole kufuatia vifo vya watu 60 na majeruhi 70 vilivyotokea kwenye mlipuko wa lori la mafuta maeneo ya Msavu mkoani Morogoro. ...

Read More »

Lukuvi aunda tume maalum kuchunguza maafisa 183 wa Ardhi

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 30 kwa timu maalum iliyoundwa kuchunguza maafisa ardhi 183 waliosimamishwa kazi hivi karibuni baada ya kuhusika na tuhuma ...

Read More »

Magereza watoa elimu ya matofali ya kuchoma, kuepusha mazingira

ILI kuepuka kufanya uharibifu wa mazingira ikiwemo ukataji miti hovyo, Jeshi la Magereza limeitaka jamii kujifunza njia mbadala ya ufyatuaji matofali ya kuchoma kupitia pumba zinazotoka kwenye mpunga. Anaripoti Danson ...

Read More »

Lori lalipuka na kuteketeza watu zaidi 60

TAKRIBANI watu 60 wanaohofiwa kufariki dunia huku wengine mamia wakiungua moto baada ya lori la mafuta kupinduka na baadaye kuwaka moto, katika eneo la Msamvu, mkoani Morogoro. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Kigogo wa TAKUKURU anaswa akipokea rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imemfukuza kazi Cosmas Batanyita, aliyekuwa Mchunguzi Mwandamizi wa taasisi hiyo, kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Marekani, Uingereza yaingilia kati sakata Kabendera

BALOZI za Marekani na Uingereza nchini Tanzania wameingilia kati sakata la kukamatwa mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Leo tarehe 9 Agosti 2019 balozi hizo zimetoa ...

Read More »

Green Mile yamgomea Kigwangalla

KAMPUNI ya Uwindaji ya Green Mile imeendelea kuvutana na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla, kwa kile walichodai kuwa wataendelea na shughuli zao. Anaripotia Mwandishi Wetu …(endelea). Akizungumza na ...

Read More »

Nanenane: Mikakati kuiinua Simiyu yawekwa hadharani

ANTHONY Mtaka, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ameeleza mikakati ya kupunguza umasikini mkoani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ripoti ya Hali ya Umasikini kwa mwaka 2017/18, iliyotolewa na Ofisi ...

Read More »

Wafanyabaishara 12 wakamatwa wakiwa na mamilioni ya fedha

JESHI la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia wafanyabaishara 12 wanaodaiwa kufanya biashara ya ubadilishaji fedha za kigeni bila leseni ya biashara hiyo kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

Simulizi msisimko majeruhi ajali ya ndege Mafia

HASSAN Bakari Ali, majeruhi wa ajali ya ndege iliyotokea Mafia wilayani Pwani, ameeleza kilichomtokea. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ajali hiyo ilitokea Jumanne tarehe 6 Agosti 2019 wakati ndege hiyo ...

Read More »

Wizara Viwanda, Kilimo washirikiane – Mhandisi Manyanya

WIZARA ya Viwanda na Biashara lazima ishirikiane na Wizara ya Kilimo ili kuleta tija kwa wakulima na wafugaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na Mhandisi Stella Manyanya, Naibu Waziri ...

Read More »

Mpina: Operesheni hii marufuku

OPERESHENI ya kuwaondoa wakazi wa Kijiji cha Vilimavitatu wilayani Babati, Manyara katika eneo linalodaiwa kuwa la hifadhi ya Burunge (Juhibu), imesitishwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Wakazi hao kuanzia Julai mwaka huu, wamekuwa ...

Read More »

Mgogoro: Nyumba, mbuzi vyachomwa moto

NYUMBA ya Tryphone Jeremiah, mkazi wa kijiji Kijiji cha Kishanda B, kilichopo kwenye Kata ya Kibale, Kyerwa mkoani Kagera imechomwa moto. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea).   Pia wanyama wake wameuawa pamoja na migomba, ...

Read More »

Sababu bei ya maji kupanda Mwanza yaelezwa

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza (Mwauwasa) imesema, imepandisha bei ya maji kutokana na kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Sababu nyingine ...

Read More »

Ndege yawaka moto Mafia

WATU watano wamenusurika kufa huku watatu hawajajulikana walipo katika ajali ya ndege, inayodaiwa ya Shirika la Tropical iliyotokea leo tarehe 6 Agosti 2019 kisiwani Mafia. Anartipoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Z’bar: Wachanganya juisi na dawa nguvu za kiume, wakamtwa

HAMID Hemed Salum (39) na Saidi Hemed Salum (40) wamekamatwa na Wakala wa Dawa, Chakula  na Vipodozi Zanzibar (ZDFA), kwa tuhuma za kuuzia wateja juisi ya tende iliyochanganywa na dawa ...

Read More »

Kilichotokea kwa Maxence wa Jamii Forum kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeanza kusikiliza utetezi wa Wakurugenzi wa Jamii  Media Limited Maxence Mello na Mike William tarehe 5 Agosti 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). ...

Read More »

Akamatwa na stika 2,546 za Viza

IDARA ya Uhamiaji nchini, imemkamata Jasmin Ngongolo, mkazi wa Dar es Salaam akiwa na stika za Viza 2,546 za Tanzania za kughushi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Mwanamke huyo alikamatwa tarehe ...

Read More »

Wafanyabiashara Dodoma wafurushwa

WAFANYABIASHARA katika maeneo ya wazi jijini Dodoma, wameulalamikia uongozi wa jiji hilo kwa kuwafurusha katika maeneo hayo ndani ya siku 30. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Wanasema, wamekuwa wakimiliki ...

Read More »

Wizara ya Afya kudhibiti Kifua Kikuu Magereza 15

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Jeshi la Magereza imeanzisha kampeni ya kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu katika magereza nchini. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). ...

Read More »

Bodaboda wapumzishwa kuingia mjini, ving’ora, ‘spotlight’ marufuku

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku usafiri wa pikipiki ‘Bodaboda’ kuingia maeneo ya mjini kuanzia tarehe 6 hadi 18 Agosti 2019. Anaripoti Regina Mkonde …(endelea). Akizungumza ...

Read More »

Bakwata watangaza tarehe ya Sikukuu ya Eid

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kwamba Sikukuu ya Idd El-Adh’haa itakuwa siku ya Juamatatu ya tarehe 12 Agosti, 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa ...

Read More »

Serikali yaenda kufanya upekuzi mwingine kwa Kabendera

ERICK Matugwa Kabendera, mwandishi wa habari za kichunguzi, mtafiti, na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, uchumi na usalama wa kikanda, bado anaendelea kushikiliwa na vyombo vya usalama nchini Tanzania, kwa ...

Read More »

Wafanyakazi wa Tigo matatani

WAFANYAKAZI wa Mtandao wa Tigo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kudukua taarifa za miamala ya pesa ya wateja kwa nia ...

Read More »

Safari za mabasi usiku zapigwa ‘stop’

JESHI la Polisi limetangaza kusitisha safari za usiku kwa baadhi ya magari ya abiria yanayokwenda mikoani. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). CP Liberatus Sabas, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa jeshi hilo ...

Read More »

Jinsi polisi wavyopambana na dawa za kulevya Aprili – Juni 2019

JUMLA ya watu 2,085 wamekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, kuanzia Aprili hadi Juni 2019. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Takwimu hizo zimetolewa mbele ya wanahabari na ...

Read More »

Mamia wamuaga kaka yake Mbowe

MAMIA ya watu leo tarehe 2 Agosti 2019, wamejitokeza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Nshara Machame kuuagwa mwili wa Meja Jenerali mstaafu, Alfred Mbowe. Anaripoti Faki ...

Read More »

Dhamana ya mwandishi Kabendera Agosti 5

MAOMBI ya dhamana Namba 14 ya mwaka 2019 ya mwanahabari Erick Kabendera, yanatarajiwa kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam tarehe 5 Agosti 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

MO Dewji aelewa somo la JPM

MOHAMMED Dewji ‘Mo’, Mkurugenzi wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (METL), amempongeza Rais John Magufuli kwa jitihada zake za kuleta mageuzi  katika sekta ya usafirishaji, viwanda na miundombinu. Anaripoti Regina ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram