MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeahirisha kesi ya kujeruhi na kutoa lugha ya matusi inayomkabili wanandoa Bharat Nathwan (57), Sangita...
By Mwandishi WetuApril 10, 2024Mwenyekiti wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) Devotha Mrope amezindua mafunzo maalumu yanayolenga kujenga uwezo wa kitaaluma kwa wataalamu...
By Mwandishi WetuApril 10, 2024WATU 30 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kughushi nyaraka za mafao ili kujipatia fedha...
By Regina MkondeApril 9, 2024Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa ametoa rai kwa menejimenti ya wizara ya madini kuhakikisha inachukua hatua za dhati katika kutatua changamoto...
By Mwandishi WetuApril 9, 2024MBUNGE wa Jimbo la Kilosa Prof. Palamagamba Kabudi amewataka waumini wa dini kiislam na dini nyingine katika madhehebu tofauti wilayani Kilosa kulinda...
By Yusuph KayandaApril 9, 2024Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali itatekeleza programu ya Mining for a Brighter (MBT) kwa lengo la kuwainua wachimbaji wanawake na vijana....
By Gabriel MushiApril 8, 2024JUMLA ya abiria 17 kati ya 27 waliozama na meli ya MV Maman Benita kwenye Ziwa Tanganyika, wameokolewa huku juhudi za kuendelea kuwatafuta...
By Gabriel MushiApril 8, 2024WATU 15 wamefariki dunia kuanzia tarehe 1 hadi 7 Aprili 2024, kwa kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini...
By Mwandishi WetuApril 8, 2024ELIMU ya Usalama barabarani inayotolewa na Shirika la Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswisi nchini Tanzania imewafikia madereva bodaboda wa Wilaya ya...
By Mwandishi WetuApril 8, 2024MAMLAKA ya Hali Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya hali ya kupatwa kwa jua tukio linalohusisha kivuli cha mwezi kuangukia juu ya uso wa...
By Mwandishi WetuApril 8, 2024MAAFISA wanaotekekeza Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania REGROW wamesisitizwa kuendelea kuteleza majukumu yao kwa kufuta...
By Yusuph KayandaApril 8, 2024Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema serikali itahakikisha inakuja na suluhisho la migogoro baina ya wachimbaji inayojitokeza katika eneo la machimbo ya madini...
By Gabriel MushiApril 7, 2024Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Slaaa amemuelekezw Katibu Mkuu wa wizara yake kuhakikisha Mkurugenzi wa Maendeleo ya Makazi na...
By Gabriel MushiApril 7, 2024MBUNGE wa Jimbo la Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikiza, ametoa chakula kwaajili ya fukari kwa waumini wa dini ya kiislamu kwa Misikiti...
By Mwandishi WetuApril 7, 2024Mtandao wa wanawake watetezi wa haki za binadamu Tanzania (CWHRDs TZ), umeendesha mkutano wake mkuu uliolenga kuweka mikakati ya kuimarisha harakati za kundi...
By Regina MkondeApril 6, 2024Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kuhakikisha wanawahudumia wananchi kwa uadilifu na upendo...
By Gabriel MushiApril 6, 2024KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata amewaagiza watumishi wa mamlaka hiyo kuwa mfano bora kwa wengine kwa kuzingatia...
By Mwandishi WetuApril 6, 2024MBUNGE wa Jimbo la Kilosa Prof. Palamagamba Kabudi amefanya ukaguzi wa ujenzi wa Tuta la kuzuia maji yanayotapika nje ya Mto Mkundi...
By Yusuph KayandaApril 6, 2024Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha...
By Gabriel MushiApril 6, 2024Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde (CCM) amewataka viongozi wa dini kuhimiza amani, mshikamano na upendo miongoni mwa watanzania kwa ustawi wa maendeleo...
By Gabriel MushiApril 5, 2024MKUU wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga amaipongeza kampuni ya Kilimanjaro one Travel and Tours kwa kuunga mkono kwa vitendo juhudi za...
By Mwandishi WetuApril 5, 2024WATU wanaopewa fedha na wapenzi wao kwa ajili ya matumizi mbalimbali, wametakiwa kutunza kumbukumbu ili kutojiweka katika hatari ya kufunguliwa kesi za uhujumu...
By Regina MkondeApril 5, 2024SERIKALI kupitia wizara ya Maliasili na utalii imezitaka Taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyo kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero katika...
By Masalu ErastoApril 5, 2024WAKATI waumini wa dini ya Kiislamu wakiendelea na mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Benki ya NMB imejumuika na wabunge wa Bunge la...
By Mwandishi WetuApril 4, 2024BALOZI wa Heshima wa Shelisheli nchini Tanzania, Maryvonne Pool kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx Gas, wamegawa mitungi ya gesi 400 kwa wanawake...
By Mwandishi WetuApril 4, 2024MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dk. Sheikh Abubakar Zubeir bin Ali Mbwana ameitaka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni, (BRELA) kutoa...
By Gabriel MushiApril 4, 2024Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imepandisha Riba ya Benki Kuu (Central Bank Rate-CBR) kutoka asilimia 5.5 iliyotumika katika robo ya kwanza ya...
By Gabriel MushiApril 4, 2024Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ikiwemo Wakala wa Misitu...
By Mwandishi WetuApril 4, 2024BERTHA Mabula Kinungu, mama mjasiriamali mkoani Shinyanga, ameiangukia Serikali akiiomba iingilie kati ili alipwe fedha zake kiasi cha Sh. 295 milioni, anazodai amedhulumiliwa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2024Ukarabati wa barabara ya Kakozi – Ilonga yenye urefu wa kilomita 49.6 umeelezwa kuondoa adha kwa wananchi wa kata ya Kapele na Ndalambo...
By Mwandishi WetuApril 3, 2024Watu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800 wamejeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kuikumba nchi ya Taiwan leo Jumatano...
By Mwandishi WetuApril 3, 2024KATIKA kipindi cha robo ya tatu ya Mwaka wa fedha 2023/24, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Sh. 6.63...
By Mwandishi WetuApril 2, 2024WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameonya uwepo wa aina nyingine ya bangi yenye kiasi kikubwa cha kilevi inayofahamika kwa jina la ‘Cha Arusha’ pamoja...
By Mwandishi WetuApril 2, 2024JESHI la Polisi visiwani Zanzibar, limesema halijawakamata watu 12 kwa sababu ya kula hadharani wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, bali...
By Mwandishi WetuApril 2, 2024IMEELEZWA kuwa katika msimu wa 2023 mkoa wa Morogoro umefanikiwa kuzalisha tani 2,000 za karafuu zenye thamani ya Sh bilioni 36. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 2, 2024Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT) Usharika wa Nyakabanga, Johanitha Yona amewataka watanzania na jamii kwa ujumla wake kujenga...
By Danson KaijageMarch 31, 2024Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mbozi imewahukumu watu watano kifungo cha miaka saba jela kila mmoja kwa kukutwa na hatia ya kuvunja...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2024WAKATI tunaadhimisha miaka mitatu madarakani ya Rais Samia Suluhu Hassan, Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, umefanikiwa kutekeleza miradi miwili mikubwa...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2024RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete ameelezea kuridhishwa kwake na kasi ya ukuaji pamoja na uimara wa taasisi za fedha...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2024KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imewakutanisha wadau mbalimbali katika Iftar iliyoandaliwa na Kampuni hiyo huku ikitumia nafasi hiyo kuwaomba Watanzania kuendelea kuwaunga...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2024Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Maji, Jumaa Aweso la kuwarudishia...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2024TUME Huru ya Uchaguzi Afrika Kusini (IEC) imemwondoa rais wa zamani Jacob Zuma kwenye kiny’anganyiro cha uchaguzi uliopangwa Mei mwaka huu na hivyo...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2024MTANDAO wa watetezi wa haki za mazingira nchini Tanzania, umeundwa kwa ajili ya kuweka mikakati ya kuimarisha shughuli zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2024Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameahidi kuongoza kwa ufanisi usambazaji wa mitungi ya gesi takribani 10,000 iliyotolewa na Kampuni ya Taifa Gas...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2024UJUMBE wa wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa kutoka Jimbo la Changzhou nchini China umeeleza kwamba umeridhia kufanya uwekezaji wa zaidi ya dola za Marekani...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2024WANANCHI wa kata za Busambara na Kiriba, Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, wako mbioni kuondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2024Kiwanda cha kutengeneza nepi cha Japan kimetangaza kuwa kitaacha kutengeneza nepi kwa ajili ya watoto wachanga nchini humo na badala yake kitaangazia soko...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2024BENKI ya NMB imewafuturisha wateja wake walio kwenye Mfungo wa Mwezi Ramadhani jijini Dar es Salaam, pamoja na kutoa misaada kwa vituo vya...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2024WAKATI Mamlaka nchini Kenya, ikiendelea kukabidhi miili ya watu waliofariki kutokana na njaa baada ya kupokea maelekezo ya mchungaji mwenye utata Paul McKenzie,...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2024WIZARA ya utalii na wanyamapori ya Uganda imesema nchi hiyo inakabiliwa na upungufu mkubwa wa idadi ya simba kufuatia kupungua kwa asilimia 45...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2024