Habari Mchanganyiko

Serikali yataka Ma  RC ,  Ma  Dc wasijione  ‘miungu watu’

WAKUU wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya nchini wametakiwa kutumia vizuri sheria ya kwaweka ndani watu ndani ya saa 48 na wasitumie sheria hiyo kwa kuwaonea watu, anaandika Dany ...

Read More »

Naibu Waziri atoa neno kuhusu amani nchini

NAIBU  Waziri  Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) , Selemani Jaffo amewataka viongozi wa dini kulinda amani ya nchi na kutotumia nafasi zao kutengeneza migogoro ya kisiasa, anaandika Dany Tibason. Jaffo ametoa  ...

Read More »

Mbunge Joseph Musukuma na wenzake wapandishwa kizimbani

MBUNGE wa Geita Joseph Musukuma leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama Hakimu Mkazi Geita, kujibu tuhuma zake zinazomkabili, baada ya kushikiliwa na polsi tangu jumapili ya wiki iliyopita, anaandika Mwandishi wetu. ...

Read More »

Serikali yafungia gazeti la MwanaHALISI

Read More »

Diwani aililia serikali ya Rais Magufuli

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeombwa kuangalia uwezekano wa kuipa usajili shule ya sekondari ya Matuli iliyopo wilayani Morogoro vijijini ili ianze kutumika,  anaandika Christina Haule. Hatua hiyo ...

Read More »

Askofu afanya maombi ya kuleta mvua

MWENYEKITI  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi  amefanya maombi maalum kwa ajili ya kuliombea taifa ili kuondokana hali ya ukame ulioanza  kuyakumba baadhi ya maeneo hapa ...

Read More »

Mchungaji atoa neno ‘watu wasiojulikana’

KANISA la Wabaptist Tanzania limewataka viongozi wa serikali pamoja na vyama vya siasa kuhakikisha wanakuwa mabalozi wa kulinda amani ya nchi, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo limetolewa huku kukiwa na ...

Read More »

Tanzania na Afrika Kusini zakumbushia uhusiano

SERIKALI ya Afrika Kusini imesema inatambua mchango wa nchi ya Tanzania katika harakati za kuipatia uhuru nchi hiyo kupitia program ya urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika, anaandika Dany ...

Read More »

Nyumba ya Zitto Kabwe yateketea kwa moto

TAARIFA zilizotufikia muda huu ni kuwa nyumba ya Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe iliyopo  Mwandiga, Kigoma imeungua moto, anaandika Mwandishi wetu. Taarifa hizo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ...

Read More »

Muswada wa kutambua madaktari wapitishwa

BUNGE limeridhia na kupitisha  muswada wa sheria ya madaktari, madaktari wa meno na wataalam wa afya shirikishi wa mwaka 2016, ambao utasimamia taaluma na maadili ya wanataaluma wa sekta ya ...

Read More »

Biashara ya ngono yatua bungeni

WANAUME wameshauriwa kuacha kununua wanawake Makahaba ili kuua biashara hiyo haramu katika maeneo mbalimbali hapa nchini, anandika Dany Tibason. Imeelezwa bungeni kuwa kama kila mwanaume ataacha kununua ngono, biashara hiyo ...

Read More »

Wachimbaji madini wanawake wamlilia Magufuli 

WACHIMBAJI madini wanawake nchini wameitaka serikali kuwawezesha ili kukuza sekta hiyo inayochangia pato la taifa na kukuza ajira kwa vijana, anaandika Pendo Omary. Kauli hiyo imetolewa wakati wa warsha ya ...

Read More »

Kubenea augua ghafla bungeni

HALI ya afya ya Mbunge wa jimbo la Ubungo Saed (Chadema) imebadilika ghafla na kulazimika kupewa mapumziko katika Zahanati ya Bunge kwa ajili ya uangalizi. Kwa mujibu wa Dk. Noel ...

Read More »

Mtandao wa Jamii forum imesajiliwa: Shahidi

MKUREGENZI mtendaji wa Usajili wa Vikoa vya Mitando Nchini (TZNIC), Abibu Mtahigie amekiri kuwa mtandao wa Jamii Forum umesajiliwa kwa kikoa cha Tanzania (Tz) anaandika Faki Sosi. Akitoa ushahidi kwenye ...

Read More »

JWTZ yaunda kikosi maalum kusaka silaha

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk.Husein Mwinyi ameliambia Bunge kuwa kwa sasa kimeundwa kikosi kazi kwa ajili ya kusaka silaha za kivita ambazo zinatumiwa na watu wenye ...

Read More »

Yusuf Manji aachiwa huru, DPP afuta kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia Huru Mfanyabiashara Yussuf Manji na wenzake kwenye uhujumu Uchumi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kuwasilisha hati ya kutoendelea na Mashtaka mahakamani hapo, anaandika ...

Read More »

Nape arusha neno vyama vya ushirika

MBUNGE  wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye (CCM), ametaka ubadilishwe utaratibu wa kupata viongozi wa vyama vya ushirika katika maeneo mbalimbali hapa nchini, anaandika Dany Tibason. “Kwa kuwa Naibu Waziri ...

Read More »

TRA kuwashukia waendesha Bahati Nasibu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza kutekeleza jukumu la kukusanya kodi kwenye michezo ya kubahatisha jukumu ambalo ilikabidhiwa kuanzia mwezi Julai mwaka huu anaandika Irene Emmanuel. Akiongea na waandishi wa ...

Read More »

Mchengerwa alia tatizo la umeme Rufiji

MBUNGE wa Rufiji Mohammed Mchengerwa(CCM) amehoji ni lini serikali itawaunganisha wananchi wa Rufiji,Kibiti na Kilwa kwenye grid ya taifa, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali jana bungeni, kwa niaba ya Mchengerwa,Mbunge ...

Read More »

Jimbo la Same waahidiwa maji

SERIKALI imesema kutokana na changamoto ya upungufu wa maji katika Hifadhi ya Mkomazi inaendelea kuchimba mabwawa sita ili kukidhi mahitaji, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo bungeni na Naibu Waziri ...

Read More »

‘Watu wasiojulikana’ wamuibua  Mkuu wa Majeshi

SAKATA la uvamizi na kupigwa risasi na watu wasiojulikana limemuibua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Venance Mabeyo ambaye amesema vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi wa matukio hayo, ...

Read More »

Mkurugenzi Misungwi aporomosha mitusi

MRADI wa maji wa zaidi ya Sh. 300 milioni uliojengwa katika Kata ya Fera Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, umeshindwa kuanza kufanya kazi baada ya kudaiwa kuwa umejengwa chini ya ...

Read More »

Mgogoro wa ardhi waibuka upya Karagwe

MAMIA ya wananchi wa kijiji cha Chabuhora, wilayani Karagwe, mkoani Kagera, wanahitaji msaada wa haraka wa chakula, baada ya mashamba na nyumba zao kuchomwa moto katika kinachoitwa, “operesheni maalum ya ...

Read More »

IGP  Sirro aambiwa aanze na Makonda

Benson Kigaila, Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtuhumu  kamanda Simon Sirro, mkuu wa jeshi la polisi nchini kuwa jeshi lake linawafahamu  watu ambao inadai hawajulikani, ...

Read More »

Wanaharakati wainuka na kupaza sauti

KITUO cha  Sheria Haki za Binaadamu Nchini (LHRC), kimesema kwa sasa hali ya usalama hapa nchini ni siyo nzuri baada ya kuwapo matukio ya mashambulizi a silaha za moto, anaandika ...

Read More »

Serikali yashauriwa kutenga maeneo ya wafugaji

SERIKALI imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga maeneo kwa ajili ya ufugaji mkubwa kwa kutumia mashamba pori yaliyotaifishwa kutoka kwa wakulima walioshindwa kuyaendeleza ili kupunguza migogoro ya ardhi, anaandika Christina Haule. ...

Read More »

Jaji Mkuu Rasmi Kuanza Kazi

Rais wa Tanzania  Dkt John Mgufuli, amemwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Hamis Juma, ambapo awali alikuwa akikaimu nafasi alikuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, baada ya aliyekuwa Jaji Mkuu ...

Read More »

‘Watanzania jiungeni na bima’

WATANZANIA wameshauri kuwa na utamaduni wa kukatia bima nyumba, viwanda na gari zao hatua itakayosaidia kurejeshewa baadhi ya mali pindi zitakapokumbwa na majanga ya moto na ajali za barabarani, anaandika ...

Read More »

Maalim Seif aililia amani

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesihi Rais John Magufuli aitishe kikao cha dharura kitakachoshirikisha watendaji mahsusi wa kiserikali pamoja na viongozi wa dini na ...

Read More »

Polisi wampiga risasi mtuhumiwa utekaji watoto Arusha

MTUHUMIWA aliyekuwa ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kuhusika na utekaji na mauaji ya watoto wawili Maureen na Ikram amefariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka mikononi ...

Read More »

RC Mongella amshauri waziri aivunje bodi ya Pamba

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, amemshauri Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Charles Tizeba kuivunja Bodi ya Pamba kanda ya ziwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipaswavyo, anaandika ...

Read More »

Wanaharakati wamkumbusha Rais Magufuli milioni 50

WANAHARAKATI wa maendeleo haki za binadamu na usawa wa kijinsia wameitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutoa Sh. 50 milioni kwa kila kijiji ili kuharakisha maendeleo katika vijiji, anaandika Pendo ...

Read More »

Walemavu wapaza sauti zao

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kinatarajia kuanzisha mradi maalum utakaosaidia viziwi na watendaji wa serikali za mitaa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya mafungu ya fedha za walemavu kwa kutoa mafunzo ...

Read More »

Mbunge Kessy alia na maji Ziwa Tanganyika

IMEELEZWA kuwa tatizo la kushuka kwa kina cha maji ya Ziwa Tanganyika limesababishwa na kubomoka kwa banio la maji kwenye mto Lukuga (DRC), anaandika Dany Tibason. Waziri wa Nchi, Ofisi ...

Read More »

Uhaba wa  maji pasua kichwa kwa serikali

SERIKALI imesema imeifanya  tathmini ya miradi ya maji yote nchini na kwa sasa inawekewa mipango sahihi ya kutekelezwa ili wananchi waweze kupata huduma ya maji kama ilivyokusudiwa, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Walemavu wanaobaguliwa ajira wapata mtetezi bungeni 

BUNGE limeelezwa kuwa watu wenye ulemavu wanabaguliwa katika kupata ajira hapa nchini kwa madai kwamba hawawezi kufanya baadhi ya kazi, anaandika Dany Tibason. Kufuatia hali hiyo waajiri nchini wameagizwa kuzingatia ...

Read More »

Serikali imesema haina takwimu utekaji watoto

SERIKALI imesema kuwa haina takwimu za watoto waliokeketwa nchini kwa kuwa vitendo vya ukeketaji kufanyika kwa siri, anaandika Dany Tibason. Mbali na kutokuwa na takwimu sahihi za watoto waliokeketwa pia ...

Read More »

Dawa za nguvu za kiume zateka Bunge

MBUNGE wa Konde,Khatibu Haji (CUF) amedai kuwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua Watanzania wengi na kuihoji serikali kama kuna hatua inachukua ili kukabiliana na tatizo hilo, ...

Read More »

TGNP yatoa tuzo kwa wanawake

TGNP Mtandao imetoa tuzo kwa wanawake waliojitoa kwa ajili ya kutetea wenzao hapa nchini na nje ya Tanzania anaandika Pendo Omary. Akizungumza wakati wa shughuli ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanywa ...

Read More »

Mabalozi, mashirika ya kimataifa yapongeza tamasha la jinsia

BALOZI wa Ireland nchini Tanzania, Fionnuala Gilsenan amesema hakutakuwa na mafanikio bila utambuzi wa haki za makundi yaliyokandamizwa, anaadika Pendo Omary. Gilsenan ametoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa maazimisho ...

Read More »

Wazee Ubungo walamba bingo  kutibiwa bure

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezitaka hosptali za wilaya kuanzisha dirisha  maalum la wazee ili kuwapunguzia changamoto pindi wanapohitaji huduma za matibabu, anaandika ...

Read More »

January Makamba ‘amchokonoa’ Dk. Mengi

JANUARY Makamba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, amedai kuwa vyombo vya habari vya kampuni ya IPP Limited chini ya Dk. Reginald Mengi, vimekuwa ...

Read More »

BoT yakumbushwa kudhibiti fedha haramu

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imetakiwa kufuata muongozo wa fedha unaokubalika ili kudhibiti fedha haramu zisiingie katika mzunguko halali, anaandika Mwandishi Wetu. Aidha, kupitia muongozo huo BoT itafahamu fedha zinazoingizwa ...

Read More »

Sikukuu ya Eid yasherekewa kivingine Pugu

VIJANA mbalimbali wa dini ya Kiislamu wamefanya michezo katika viwanja vya Pugu Kajiungeni jijini Dar es Salaam ili kuwasaidia kutojiingiza katika maovu inapofika siku za sikukuu, anaandika Faki Sosi. Tamasha ...

Read More »

Moto waua wanafunzi 7 Kenya

WANAFUNZI saba katika shule ya sekondari ya wasichana (Moi Girls High School) iliyopo Kibera, katika mji wa Nairobi nchini Kenya wamepoteza maisha baada ya moto kuzuka katika bweni, anaandika Hamisi ...

Read More »

Waziri Nchemba aridhia wakimbizi kurudi kwao

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema serikali ya Tanzania haifukuzi wakimbizi kama inavyodaiwa, anaandika Hamisi Mguta. Mwigulu amesema hayo katika kikao cha kuweka maandalizi ya kuwarejesha ...

Read More »

Huduma za Mkemia Mkuu zafika mikoani

MAMLAKA ya Mkemia Mkuu wa Serikali imelenga kuimarisha utendaji kazi wa maabara  katika kanda zake za Nyanda za juu kusini, na kanda ya ziwa kwa kuzipatia vifaa vya kisasa, anaandika ...

Read More »

Lisu kupamba tamasha la injili

MWIMBAJI wa nyimbo za injili, John Lisu anatarajia kutikisa katika tamasha la uamsho lililoanza ambalo litashirikisha watui wote bila kujali itikadi za dini zao, anaandika Dany Tibason. Katika mahojiano maalumu ...

Read More »

Masogange ana kesi ya kujibu Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema msanii wa filamu nchini, Aggnes Masogange ana kesi ya kujibu kwenye mashtaka yake ya matumizi ya dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi. Leo Hakimu ...

Read More »

Mwenyekiti bodi ya maziwa ageuka ‘bubu’

WAJUMBE wa Baraza la Wadau wa Maziwa Tanzania wamelalamikia bodi ya maziwa kuendeshwa bila wajumbe wake kwa miaka miaka mitatu sasa, anaandika Dany Tibason. Wametoa malalamiko hayo leo muda mfupi ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube