HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA MICHEZO SIASA TANGULIZI Mahakama yaamuru Wakazi kumlipa Mil 100 Baba Levo March 13, 2026 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemhukumu msanii wa muziki wa rap, Wakazi, kumlipa fidia ya Sh. 100 milioni, mbunge wa Kigoma Mjini (CCM), baada ya kupatikana…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Dk. Nchimbi ataka wizara zishirikiane kuimarisha uhifadhi wa mazingira March 10, 2026 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Tanzania,Balozi Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa wizara zinazohusika na sekta ya mazingira kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuwa na mpango wa pamoja utakaowezesha uhifadhi endelevu wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Jaji Mutungi akutana na Mwakilishi wa UN March 10, 2026 Erasto Masalu MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji (Mstaafu) Francis Mutungi, leo jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja…
SIASA TANGULIZI ACT Wazalendo yawasilisha wasiwasi wa hali ya kisiasa UN March 10, 2026 Erasto Masalu KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (Special Representative of the…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Jumuiya ya Madola sasa kutinga nchini March 8, 2026 Erasto Masalu HATIMAYE Serikali ya Tanzania, imekubali kumruhusu Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Dk. Lazarus Chakwera, Rais wa zamani wa Malawi, kuingia nchini kufanya uchunguzi wa mauaji ya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kanisa Katoliki Musoma, lafuta barua ya BAWACHA March 7, 2026 Erasto Masalu KANISA Katoliki Jimbo la Musoma, limefutangaza barua yake iliyokuwa imeruhusu Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), kutumia uwanja wake, kwa ajili ya Siku ya Wanawake Duniani.…
SIASA Hatma ya kesi ya mgawanyo wa mali za Chadema leo March 6, 2026 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya kusikilizwa kwa hoja za maombi…
KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Vigogo hawa wameondoka, katika vita kati ya Marekani na Iran March 2, 2026 Erasto Masalu MASHAMBULIZI ya kijeshi ya Marekani na Israel nchini Iran, yamewaondoa maisha ya makumi ya viongozi waandamizi wa taifa hilo la Kiarabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Nchimbi akemea magomvi ya kivyama February 28, 2026 Erasto Masalu BALOZI Emmanuel Nchimbi, makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano amesema, hafurahishwi na magomvi yanayoendelea kati ya chama chake – Chama Cha Mapinduzi na upinzani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
SIASA TANGULIZI Wamekimbilia Mahakama ya Rufani ili kumkomoa Lissu, haikubaliki kisheria February 25, 2026 Erasto Masalu MKURUGENZI wa Sheria na haki za binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wakili Gaston Galubindi, amesema kuwa kitendo cha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kukimbilia Mahakama ya Rufani kupinga…