HABARI MCHANGANYIKO RITA yawapiga msasa wajumbe Bodi mpya ya wadhamini Kanisa la Waadventista Wasabato March 18, 2026 Erasto Masalu KABIDHI Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Frank Kanyusi amewataka wajumbe wapya wa Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato kutekeleza…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA CCBRT yarejesha furaha kwa wenye matatizo ya macho Dar March 18, 2026 Erasto Masalu HOSPITALI ya CCBRT imeendelea kutoa huduma ya macho na ushauri nasaha kwa wakazi wa Dar es Salaam katika Kituo cha Afya cha Anglikana kilichopo Buguruni, Manispaa ya Ilala kwa siku…
HABARI MCHANGANYIKO Jesca Magufuli: Uwezo wa kiongozi unapimwa kwa alama alizoacha March 17, 2026 Erasto Masalu JESCA Magufuli, mtoto wa Hayati Rais Dk John Pombe Magufuli, amesema katika Mataifa mengine uwezo wa kiongozi haupimwi kwa mda aliokaa madarakani bali kwa alama walizoziacha katika maendeleo na mwenendo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Magufuli alibadilisha fikra za uongozi Tanzania – Dk. Nchimbi March 17, 2026 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi ameungana na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati…
BIASHARA Wild Easter Eggs inagawa ushindi mkubwa ndani ya Meridianbet Pasaka hii March 17, 2026 Erasto Masalu MSIMU wa Pasaka umefika na kuleta burudani mpya kupitia mchezo wa kusisimua wa Expanse unaoitwa Wild Easter Eggs. Mchezo huu unawakaribisha wachezaji kuingia kwenye safari ya kipekee ya kutafuta mayai…
HABARI ZA MICHEZO Nani kwenda Robo Fainali UEFA leo? March 17, 2026 Erasto Masalu LEO ni leo asemaye kesho muongo, Huu ni msemo ambao Wahenga walimaanisha kuwa jambo linalotakiwa kufanyika leo limailzike leo, na Meridianbet wanakwambia pesa inapatikana kwenye mechi za Uefa leo hivyo…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Serikali yajipanga kutatua changamoto za mazingira ya biashara March 16, 2026 Erasto Masalu SERIKALI kupitia Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) mesema kuwa imejipanga kutatua changamoto mbalimbali zilizopo katika mazingira ya biashara nchini ili kuendelea kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi,…
HABARI MCHANGANYIKO Wawili wafariki dunia baada ya jahazi kuzama Nungwi March 16, 2026 Erasto Masalu WATU wawili wamefariki dunia huku wengine watatu hawajulikani waliopo baada ya jahazi la mizigo kupoteza uelekeo na kuzama katika eneo la Nungwi wakati jahazi hilo likielekea Bandari ya Mkokotoni visiwani…
HABARI MCHANGANYIKO Mafwele, wenzake 42 kutoa ushahidi kesi ya kughushi vibali vya silaha March 16, 2026 Erasto Masalu MASHAHIDI 43, akiwemo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele, wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Balozi Nchimbi kuongoza miaka mitano ya kifo cha Magufuli March 16, 2026 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Chato Airport mkoani Geita Region leo tarehe 16 Machi 2026, ambapo alipokelewa na kusalimiana na viongozi mbalimbali…