KWA wapenzi wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania, SportPesa Tanzania ni zaidi ya jukwaa la kubeti, ni sehemu ambayo inawawezesha wachezaji kupata fursa ya halisi kushinda na kuona matokeo yanayobadilisha maisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Mwaka uliopita, kampuni hii ilitoa zaidi ya TZS 1 bilioni kwa wachezaji wa jackpot pekee, ishara inayoonesha kwamba ushindi halisi unapatikana kila siku. Miongoni mwa washindi wapya ni Hamza Athman, aliyejinyakulia kitita cha TZS 237,897,560 kwenye Midweek Jackpot. Kwa Hamza, pesa hizi si tu namba kwenye skrini, ni fursa mpya na mwanzo wa sura mpya ya maisha yake.
Akizungumza baada ya kupokea zawadi yake rasmi, Hamza alisema: “Kushinda Midweek Jackpot kumebadilisha maisha yangu kabisa. Daima niliamini kuwa ukiwa unataka kushinda kweli, lazima uwe na App ya SportPesa. Leo naweza kusema kwa hakika SportPesa Tanzania ni nyumbani kwa washindi. Wanampa kila mtu fursa ya kushinda zaidi.”
Ukiacha ushindi wa Jackpot, SportPesa Tanzania haiishii hapo. Michezo ya Kasino na Aviator pia imekuwa ikizalisha washindi kila siku, kila dakika kwa kwa dau dogo kabisa. Mwezi huu pekee, mchezaji mmoja mwenye bahati kwa dau dogo kabisa la shilingi 420, aliweza kujishindia hadi kiasi cha Sh. 27,964,800. Hii inadhihirisha kuwa kila dau linaweza kukupa ushindi mnono.
Ushindi huu unadhihirishwa na michezo mbalimbali, inathibitisha kuwa SportPesa Tanzania inatoa fursa kwa wachezaji kwa kiwango chochote. Iwe ni jackpots zenye odd ndefu, ubashiri wa miochezo, au Aviator yenye multiplier kubwa, wacehzaji wanaendele kupata malipo yao na kuingia kwenye akaunti zao.

Kwenye tasnia ya michezo yenye ushindani mkubwa, Ukweli na uwazi ndizo sifa zinazotofautisha chapa. Malipo ya zaidi ya TZS 1 bilioni kwa jackpot pekee mwaka mmoja ni mafanikio makubwa, na kuunganishwa na malipo ya kila siku katika Kasino na Aviator kunathibitisha nguvu ya kiutendaji, uaminifu wa kifedha na dhamira ya kuheshimu ushindi bila kucheleweshwa.
SportPesa Tanzania inafanya kazi kwa mujibu wa kanuni na sheria za serikali, ikichangia kwa kiasi kikubwa kwenye mapato ya taifa na kutengeneza maelfu ya ajira. Pia inakuza mpira, vipaji, uwajibikaji na kulinda wachezaji. Hii inaonesha kua, Zaidi ya ushindi, SportPesa inachangia pia katika ukuaji wa jamii na taifa kwa ujumla.
Mkuu wa Masoko Wa SportPesa Tanzania, Tracy Humplick alisisitiza kuwa kampuni inaendelea kuwekeza katika maboresho ya mfumo, uzoefu wa wateja na kurahisisha masharti ya michezo ili kuhakikisha haki na uendelevu wa huduma. “Kila siku, wachezaji wanapokea ushindi wao. Kwa dau dogo tu unaweka na kupata mamilioni. Ushindi wa jackpot, Kasino au Aviator, ni ushahidi wa kwamba SportPesa ni kweli nyumbani kwa washindi” alisema.
Hadithi za washindi kama Hamza zinahamasisha wengine kujiunga na nyumba hii ya washindi, na inaonyesha kuwa fursa halisi ipo kwa kila mchezaji anayejituma. Kadri watanzania wengi wanavyoshiriki, mzunguko wa fursa na malipo unapanuka zaidi.
Kwa uwepo wa washindi wengi na malipo makubwa yanayoendelea kutolewa, SportPesa Tanzania inaendelea kuonyesha kwa vitendo kuwa ni jukwaa linalotoa fursa halisi za ushindi kwa kila Mtanzania.
ZINAZOFANANA
Vaso Psycho kukupa nafasi ya mbinu zako kukutana na bahati
Non-Stop Win&Go Drop inakupa bahati kwa kila dakika ndani ya Meridianbet
Airtel imefanya droo ya gari ya kila mwezi na kukabidhi TV 7 kwa Washindi wa Mwaka umenyooka na MyAirtel App