
Michuano ya Ligi ya Europa Duniani ipo kwaajili ya kukupatia ushindi mnono. Timu kibao za ushindi zipo hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya ushindi ukiwa na wakali wa ubashiri Meridianbet.
Anza kutengeneza mkwanja mechi ya Brann dhidi ya Rangers ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee kwani mgeni alipoteza mechi zake zote mbili, hivyo ushindi kwenye mechi hii muhimu sana. Mwenyeji pia anataka kuonesha ubabe wake akiwa nyumbani. Je wewe leo hii beti yako unaiweka wpai kwenye mechi hii?. Bashiri hapa.
Nao Bologna kutoka kule Italia watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya FCSB ambao wana pointi 3 hadi sasa kwenye msimamo huo. Mgeni yeye amejikusanyia pointi 1 pekee huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 kule Meridianbet. Je unangoja nini kutengeneza mkeka wako wa uhakika?. Jisajili sasa.
Kutoka kule Uturuki, Fenerbahce watakuwa kibaruani kumenyana vijali dhidi ya VFB Stuttgart ya kule Ujerumani. Timu hizi hazijawhai kukutana kwenye mashindnao yoyote hivyo hii ndio mara ya kwanza kwani kila timu inataka kuonesha ubabe kwa mwingine. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.
Pesa ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Genk atakuwa uso kwa uso dhidi ya Real Betis ya Hispania ambao ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet. Kila timu inataka kushinda mechi hii hasa mwenyeji ili kujiweka kwenye nafasi nzuri kabisa. Hii ni mechi ya vita kali kabisa kutoka nchi mbalimbali. Beti sasa.
Kwa upande wa Aston Villa kutoka Uingereza wao watasafiri hadi kule Uholanzi kumenyana dhidi ya Go Ahead Eagles ambao mpaka sasa wamekusanya pointi 10 pekee. Villa chini ya kocha mkuu Unai Emiry kwenye ligi wamekusanya pointi 9 hadi sasa. Huku ni kwenye Europa, je nani kushinda. Tengeneza jamvi hapa.
Lyon naye atamenyana dhidi ya Basel kutoka Uswizi ambapo mpaka sasa ana pointi 3 pekee huku mwenyeji wake akiwa na pointi 6. Wewe ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kutengeneza pesa endapo utaweka mechi hii kwenye mkeka wako. Nani kukupatia ushindi?, Beti hapa.
Halikadhalika nao Celta Vigo atamenyana dhidi ya OGC Nice kutoka kule Ufaransa ambao mechi iliyopita, alipigika huku mwenyeji wake yeye akiondoka na ushindi mnono. Pale Meridianbet mwenyeji ndiye anayepewa nafasi ya kushinda. Je wewe beti yako unaiweka wapi?. Suka jamvi hapa.
Malmo ataumana dhidi ya Dinamo Zagreb huku tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee kwani mwenyeji alipoteza mechi zote mbili. Mgeni ndiye kinara wa ligi kwani ameshinda mechi zake zote mbili za kwanza. Je mwenyeji atakubali kupoteza mechi hii ya tatu tena au mgeni ataendeleza ubabe?. Jisajili hapa.
Pia Nottingham Forest atakipiga dhidi ya FC Porto kutoka kule Ureno, huku mwenyeji yeye akiwa na pointi moja pekee. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo huku Odds za mechi hii zikiwa kubwa kabisa. Piga pesa ya maana leo na uanze safari yako ya ushindi siku ya leo.
ZINAZOFANANA
Ushindi wa UEFA unaanzia Meridianbet
Usiku wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kukupatia pesa
Piga pesa na Meridianbet siku ya leo