
Julai hii, Meridianbet inakuletea promosheni kabambe kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni. Cheza Aviator na ushinde simu mpya aina ya Samsung A25, pamoja na mkwanja wa maana kila siku.
Kuanzia Julai 1 hadi Julai 31 mwaka huu, Meridianbet inatoa jumla ya simu 8 za Samsung A25 yaani simu mbili kila Jumatatu ya wiki kwa washindi watakaoibuka kutokana na mchezo wa Aviator. Kila unavyocheza, ndivyo unavyoongeza nafasi zako za kushinda.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Aviator ni mchezo rahisi lakini unaohitaji ujanja, chagua dau lako, angalia ndege ikiruka, na toa pesa kabla haijapaa sana na kukimbia. Unapotoa mapema, unavuna zaidi. Ni mchezo wa maamuzi ya haraka na hisia kali.
Ili kuingia kwenye droo ya zawadi:
Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet.
Cheza Aviator kwa dau lolote kwani kila mchezo ni nafasi mpya ya ushindi.
Kila Jumatatu, washiriki wawili wanajinyakulia simu mpya. Ukicheza mara nyingi zaidi, nafasi zako zinaongezeka maradufu.
Jisajili sasa, cheza Aviator na uingie kwenye safari ya ushindi kutoka Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania.
ZINAZOFANANA
Super Heli kukupa Samsung A25 kutoka Meridianbet
Utajiri kuangukia mlangoni kwako leo na Playson Short Races
GF TRUCKS kuwakutanisha wadau kusherehekea ushindi wa Jumla Sabasaba 2025