SIASA Maandalizi ya kung’oa Lipumba yakamilika February 20, 2026 Erasto Masalu WASWAHILI hunena kama ulivyoawatendea mwenzako nawe utatendewa, usemi huu utathibiti kesho ambapo wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), watakapokwenda kupiga kura ya kuchagua viongozi wapya. Anaandika Joyce…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Kardinali Pengo afariki Dunia February 20, 2026 Erasto Masalu ASKOFU Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Askofu Pengo amefariki dunia usiku…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mahkama Z’bar yatupa kesi za uchaguzi February 19, 2026 Erasto Masalu MAHKAMA Kuu ya Zanzibar imetupilia mbali maombi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 yaliyohusu uwakilishi katika majimbo manane ya kisiwani Pemba. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Nilitwa Polisi kuhojiwa kama shahidi wa kesi ya Lissu February 19, 2026 Erasto Masalu SHAHIDI wa 14 alitambulishwa mahakamani kama ‘P9’ (38), ameieleza Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam kuwa tarehe 22 Aprili aliitwa polisi na kutakiwa ahojiwe kama shahidi. Anaripoti Faki…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kesi ya Lissu: Shahidi aeleza alivyomkamata aliyehamasisha vurugu za uchaguzi February 19, 2026 Erasto Masalu SHAHIDI wa 12 kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es…
HABARI ZA MICHEZO Zaidi ya mamilioni kutolewa leo kwenye mechi za Europa leo February 19, 2026 Erasto Masalu Ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi za EUROPA hatua ya mtoano zinaendelea hivyo hakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri…
BIASHARA Milionea mpya kupatikana kupitia Meridian Jackpot February 19, 2026 Erasto Masalu Meridianbet inawaletea wapenzi wa kubashiri fursa ya kipekee ya kushinda kupitia Meridian Jackpot. Hapa, kila dau linaweza kubadilisha maisha yako, kwani unaweza kubashiri matokeo ya mechi 13 zilizochaguliwa kwa makini…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO EACOP yakabidhi karakana na vifaa vya mafunzo katika chuo cha Don Bosco February 19, 2026 Erasto Masalu MRADI wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umekabidhi jengo la kisasa la karakana ya uchomeleaji pamoja na vifaa vya mafunzo kwa Chuo cha Ufundi Stadi cha Don…
BIASHARA Meridianbet yaleta Gates of Love, mchezo mpya wa slot wenye ushindi wa hadi x5,000 February 18, 2026 Erasto Masalu Meridianbet Tanzania imeendelea kuimarisha uzoefu wa wachezaji wake kwa kuzindua mchezo mpya wa sloti, Gates of Love. Ukiwa umehamasishwa na nguvu ya mapenzi na bahati, mchezo huu unakuja na mandhari…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu alivyombana shahidi wa 11 neno kwa neno February 18, 2026 Erasto Masalu TUNDU Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anaendelea kujitetea huku akijua kuwa kwenye kesi hiyo ya uhaini inayomkabili katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam…