BIASHARA Meridianbet inakupa Vaso Psycho, mchezo wa kipekee kwa majasiri February 21, 2026 Erasto Masalu Soko la burudani mtandaoni limepata sura mpya kupitia Meridianbet kwa kuuletea umma mchezo wa kipekee wa Vaso Psycho kutoka Expanse Studios. Mchezo huu unatoa jukwaa linalompa mchezaji nafasi ya kuonyesha…
BIASHARA Meridianbet yashirikiana na Manispaa ya Kinondoni kuimarisha usafi wa mazingira February 21, 2026 Erasto Masalu Katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhakikisha mazingira safi na salama kwa wananchi, Meridianbet imetoa msaada wa mapipa ya taka katika maeneo mbalimbali ya mitaa ndani ya wilaya ya…
HABARI MCHANGANYIKO Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yaridhishwa na uzalishaji umeme February 20, 2026 Erasto Masalu KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema imeridhishwa na hali ya uzalishaji wa umeme , ambapo sasa nchi ina uwezo wa kuzalisha jumla ya megawati 4,400 huku…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Aliyemkamata mhamasishaji vurugu Mbeya atoa ushahidi kesi ya Lissu February 20, 2026 Erasto Masalu SHAHIDI wa 15 kwenye kesi Na. 19605/2025 ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye ni askari wa Jeshi la Polisi aliyejitambulisha kuwa ni…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu alivyombana shahidi wa 14 wa serikali, neno kwa neno February 20, 2026 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imeendelea kusikiliza shauri Na.19605/2025 la uhaini Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambapo Lissu amehitimisha…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Kardinali Pengo kuzikwa Pugu Feb 28 February 20, 2026 Erasto Masalu MWILI wa aliyekuwa Askofu Mkuu Mstaafu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo unatarajiwa kuzikwa jumamosi ya tarehe 28 Februari 2026, kwenye kituo cha hija Pugu.…
HABARI MCHANGANYIKO Mtanzania ajitosha ujaji Mahakama ya ICC February 20, 2026 Erasto Masalu JAJI wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania, Deo John Nangela amejitosa katika kinyang’anyiro katika Uchaguzi wa Majaji Sita wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka…
BIASHARA Vaso Psycho kuleta mapinduzi mapya ya ushindi kupitia Meridianbet February 20, 2026 Erasto Masalu Katika enzi ya mabadiliko ya haraka ya kidijitali, ubunifu ndio silaha kuu ya ushindani. Ndiyo maana Meridianbet imeleta toleo jipya na lililoboreshwa la Vaso Psycho, kazi mahiri kutoka Expanse. Toleo…
BIASHARA Kwa taarifa zaidi ingia Meridianbet Sport Portal February 20, 2026 Erasto Masalu Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Tundu Lissu aanza kumbana shahidi wa 14 February 20, 2026 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaanza kumuuliza maswali ya dodoso (cross examination), shahidi wa 14 ambaye ni shahidi wa siri aliyetambulishwa kama P9 ambaye ni…