December 22, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Jumapili ya kuchuma na Meridianbet ni leo

 

Kama kawaida leo hii mechi mbalimbali za mataifa hapa Afrika na kule Ulaya zinaendelea huku ndani ya Meridianbet tayari wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.

Kusanya mpunga wako kwenye mechi ya Burundi vs Burkina Faso ambapo anayepewa nafasi kubwa ya kushinda leo hii ni mgeni akiwa na ODDS ya 1.47 kwa 6.07 huku mara ya mwisho kukutana, mwenyeji alipasuka. Je leo hii anaweza kulipa kisasi nyumbani?. Jisajili hapa.

Mechi hizi za mataifa kule Ulaya pia zinaendelea ambapo, England baada ya kupoteza mechi iliyopita leo hii atakipiga dhidi ya Finland ambao wamepoteza mechi zote 3 walizocheza na ndio pia wanaoshikilia mkia kwenye kundi hilo. Meridianbet wameipa Uingereza nafasi nzuri ya kuondoka na ushindi kwa ODDS 1.24 kwa 9.80. Bashiri hapa.

Beti mechi za Mataifa leo Afrika na Ulaya utimize ndoto zako leo. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Katika kundi D, Moldova ambaye ndiye kinara wa kundi hilo akiwa na pointi 6 atakiwasha dhidi ya Malta ambaye ametoka kushinda mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 huku mtanange wa mwisho kuchuana mgeni alishinda. Beti yako unampa nani hii leo ambapo ODDS za mechi hii ni 3.09 kwa 2.65. Beti sasa.

Naye Kazakhstan atakuwa uso kwa uso dhidi ya Slovenia huku mwenyeji akiambulia sare moja pekee kwenye michezo mitatu aliyocheza. Mgeni yeye kwenye mechi tatu ameshinda mechi moja, sare moja na kupoteza mara moja. 4.90 kwa 1.67 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili sasa.

Faroe Island atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Latvia ambao wapo Kundi C. Mwenyeji ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita, wakati kwa upande wa mgeni yeye alipoteza. Hivyo basi pointi 3 za leo ni muhimu sana kwa kila timu. Je nani ni nani leo?. Suka jamvi mechi hii yenye ODDS 2.40 kwa 2.94.

Vilevile mtanange mwingine utakuwa ni huu wa Armenia vs North Macedonia ambapo timu hizi zimeachana pointi 3 pekee na mgeni ndiye kinara wa kundi hilo akiwa na pointi 7 na mwenyeji akifuatia na alama zake 4 pekee. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Beti sasa.

Pia Norway baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kuchuana vikali dhidi ya Austria ambaye anapewa nafasi kubwa ya ushindi leo akiwa na ODDS 1.96 kwa 3.43. Mechi ya mwisho kuonana mwenyeji alipoteza. Je leo hii anaweza ukawafunga kina Haaland?. Jisajili hapa leo.

Vilevile Liechtenstein ataumana dhidi ya Gibraltar huku mechi hii ikionekana ni kali kwelikweli kwani ODDS za mechi hii hazitofautiani sana. Yaani ni 2.60 kwa 2.79, lakini Meridianbet wao wanampa nafasi ya ushindi mwenyeji kwani yupo kwenye nafasi mbaya. Je ataweza kufurukuta mbele ya kinara wa kundi hilo C?. Suka jamvi lako hapa.

Huku Greece yeye atacheza dhidi ya Ireland majira ya saa 3:45 usiku katika dimba la Karaiskakis ambapo mwenyeji ndiye kinara wa kundi hilo akishinda mechi zote tatu alizocheza hadi sasa. Mgeni yeye ana ushindi mmoja pekee huku mechi mbili akipoteza. Beti mechi hii yenye ODDS 1.78 kwa 4.50.

About The Author

error: Content is protected !!