Elimu

Elimu

Serikali yakataa deni la walimu

SERIKALI imebaini wizi na udanganyifu uliofanywa na walimu na wakurugenzi wa Halmashauri katika kuandaa madai ya walimu ya mwaka 2014. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Wizi na udanganyifu uliogundulika ni ...

Read More »

Walimu Arusha waidai Serikali bil 4, waipa wiki mbili

CHAMA cha Walimu mkoa wa Arusha (CWT-Arusha) wamelalamikia serikali na kuitaka kutekeleza kwa wakati madeni yao la zaidi ya Sh. 4 billioni kwani yamekuwa kikwazo katika ufanisi wa kazi hali ...

Read More »

Mgomo wa Walimu wanukia

CHAMA Cha Walimu Tanzania (CWT), kimeonya kuwa kitachukua hatua madhubuti ikiwa katika kipindi cha siku 30, serikali itashindwa kulipa stahiki zote za walimu nchini. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Hatua ...

Read More »

TFDA yaipiga tafu Ilala

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Raymond Wigenje akimkabidhi madebe Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngirumi

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imeikabidhi Manispaa ya Ilala madebe 100 ya kuhifadhia takataka. Anaandika Faki Sosi, DSJ … (endelea). Msaada huo umekabidhiwa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, ...

Read More »

Hisabati, Kingereza yapatiwa mbinu mpya

Wanafunzi wa chuo wakisoma kupitia mtandao

SHIRIKA lisilo la kiserikali la North Mara Trust Fund linatarajia kuanzisha mradi wa kuenua (kuendeleza) elimu kwa njia ya kisasa (digital) ili kuongeza ufahamu katika masomo ya Kiengereza na Hisabati. ...

Read More »

Serikali yakiri kutopandisha walimu vyeo

Maandamano ya Walimu wa mkoa wa Dar es Salaam

SERIKALI imekiri wazi kwamba walimu wengi hawapandishwi vyeo pamoja na kulipwa malimbikizo yao kwa wakati. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa leo bungeni na Naibu Waziri,Ofisi ya ...

Read More »

Shule zakumbwa na uhaba wa wakaguzi

Wanafunzi wa shule ya msingi, Namtumbo

IDARA ya Ukaguzi wa shule ina upungufu wa wakaguzi 341. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni leo na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango wakati akijibu swali la Mbunge ...

Read More »

Walimu wapigiwa chapuo bungeni

Mwalimu akiwa darasani

IMEPENDEKEZWA Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), iruhusiwe kulipa mishahara ya walimu badala ya Serikali. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mapendekezo hayo yalitolewa leo bungeni na baadhi ya wabunge ambao ...

Read More »

Serikali yatakiwa kutatua uhaba wa madarasa

Wanafunzi wakisoma chini ya mti kutokana na kukosa madarasa

SERIKALI imetakiwa kutatua tatizo la uhaba wa vyumba vya madarasa kwa shule za msingi za sekondari nchini badala ya kutegemea nguvu za wananchi. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Kauli ...

Read More »

Ukosefu wa chakula wachangia utoro mashuleni

Wanafunzi wa shule ya msingi

UKOSEFU  wa Chakula sheleni hususan zile zinazomilikiwa na serikali umetajwa kuwa chanzo kikubwa kinasababisha wanafunzi kutoroka mashuleni na kwenda kujitafutia chakula hali inayoathiri taaluma na maendeleo ya elimu nchini. Anaandika ...

Read More »

NACTE yafuta vyuo vitatu

Kaimu Katibu Mtendaji wa baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Dk. Adolf Rutayuga akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukuzaji Mitaala wa NACTE, Twilumba Mponzi

KATIKA jitihada za kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo vitatu na kuvishushia hadhi vyuo 16. Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

Serikali yamaliza mgogoro KIU

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala wakiwa kwenye mgomo

BAADA ya wabunge wa upinzani kuvalia njuga mgogoro kati ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Dar es Salaam (KIU-DCC) Kitivo cha Sayansi za ...

Read More »

‘Shule za Kata zinatoa ushindani’

Moja ya shule za kata nchini

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa takwimu za ufaulu katika mitihani ya kitaifa ambazo zinaonesha kati ya  watahiniwa waliofaulu kwa Daraja I-III ambao ...

Read More »

Dk. Kawambwa abanwa bungeni kuhusu vyuo

Chuo Kikuu cha Dodoma

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Dk David Malole,(CCM)  ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kutoa majibu ya kina ni namna gani inavyowatumia wasomi wa vyuo vikuu Dodoma ...

Read More »

Wangekuwa darasani wasingekuwa barabarani

Wanafunzi wa darasa la pili wakiwa darasani

MIAKA miwili iliyopita nikiwa sekondari, nilikuwa nikipata wakati kujadiliana na wanafunzi wenzangu kuhusu maisha ya nyumbani mbali na yale ya kuonana na kukaa darasani asubuhi hadi mchana. Mara nyingi ilikuwa ...

Read More »

‘Elimu ya bure sekondari palepale’

Wanafunzi wakishangilia, bila shaka watashangilia kama hivyo watakaposikia kauli hii

SERIKALI imesema itaanza kutekeleza ahadi yake ya kutoa elimu ya sekondari bure katika mwaka wa fedha 2015/16. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo imetolewa bungeni leo na Waziri wa ...

Read More »

‘Mafunzo ya vitendo yameongezwa’

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa

SERIKALI imesema, kwa sasa wanafunzi wanafundishwa kwa vitendo zaidi ili waweze kuelewa lugha katika kile wanachojifunza. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Nchi,Ofisi ...

Read More »

Shule za serikali zawakera wabunge

Shule ya Msingi Juhudi iliyopo Wilaya ya Kigoma Vijijini mkoani Kigoma nchini Tanzania wakiwa darasani

MBUNGE wa Viti Maalum, Amina Abdallah Amour (CUF) ameitaka serikali kueleza ni lini itaboresha shule zake ili wazazi wasishawishike kuwapeleka watoto katika shule zilizopo nje ya nchi. Anaripoti Dany Tibason ...

Read More »

‘Tutaondoa vikwazo kwa wanafunzi wa kike’

Wanafunzi wa kike wanaosoma shule ya msingi

SERIKALI imesema imejipanga kuondoa vikwazo mbalimbali vinavyowakumba wanafunzi wa kike pindi wanaposhindwa kuhudhuria masomo yao ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao walizojiwekea. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo jijini ...

Read More »

Rwamlaza ataka shule zihamishwe

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Kasim Majaliwa

MBUNGE wa Viti Maalum, Conchesta Rwamlaza (Chadema), amehoji Serikali  ina mpango gani wa kuzihamisha shule za msingi Tumaini na Zamzam katika Manispaa ya Bukoba, ambazo zipo karibu na uwanja wa ...

Read More »

Lyimo ahoji fedha za ukarabati

Majengo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

MBUNGE wa Viti Maalum, Suzan Lyimo (Chadema), ameihoji serikali na kuitaka ieleze ni kwanini fedha inayotengwa kwa ajili ya ukarabati wa vyuo vya zamani haifiki kwa wakati. Katika swali lake ...

Read More »

‘Walimu 106,753 wamepanda vyeo’

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imesema kuwa imekuwa ikitoa miongozo ya kusimamia utoaji wa  mikopo ya elimu ya juu kwa fani mbalimbali ikiwemo ya ualimu. Anaandika Dany Tibason ...

Read More »

Wanafunzi waombwa kujiandikisha kupiga kura

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe, amewataka vijana wote wanaomaliza masomo ya sekondari kushiriki kikamilifu katika uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, ili kuwachagua viongozi bora katika ...

Read More »

Pinda azindua Wiki ya Elimu Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasikiliza wanafunzi katika ufunguzi wa Wiki ya Elimu, mjini Dodoma

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amezindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Elimu leo katika uwanja wa Jamhuri, mkoani Dodoma. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Maadhimisho hayo kwa mwaka huu yanaongozwa na ...

Read More »

Walimu waitwa kununua hisa

Baadhi ya Walimu ambao ni wajumbe wa mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania Wilaya ya Njombe

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeendelea kuwahamasisha walimu nchini kujitokeza kwa wingi kununua hisa katika benki yao tarajiwa, itakayojulikana kama Mwalimu Commercial Bank (MCB). Anaandika Mwandishi wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

UCSAF kuunganisha shule kwa inteneti

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia profesa Makame Mbarawa, akizungumza na waandishi wa habari. (hawapo pichani)

MFUKO wa mawasiliano kwa wote (UCSAF), umesaini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijni na maeneo maalumu ya mipakani awamu ya pili, na mradi wa kuunganisha intaneti kwenye shule ...

Read More »

Shule zasotea ruzuku

Mkurugenzi wa Haki Elimu Elizabeth Misokia

UFUATILIAJI wa Shirika la Hakielimu, umeaonesha kuwa kwa robo tatu za mwaka wa fedha, iliyoishia 31 Machi mwaka huu, Serikali imeweza kutoa asilimia tisa tu ya Sh. 10,000 kwa shule ...

Read More »

Walimu wageuza shule ya umma mradi binafsi

Wakati walimu wa Kigogo Fresh wakikusanya fedha kwa wanafunzi, kuna baadhi ya shule za msingi za Tanzania hali yake ni hii

WALIMU katika Shule ya Msingi Kigogo Fresh iliyopo kata ya Pugu, Manispaa ya Ilala, nje ya jiji la Dar es salaam, wamelalamikiwa kugeuza mpango wa serikali wa kutoa elimu bure ...

Read More »

Kinyesi kutoa maji safi, salama

Bill Gates akijiandaa kunywa maji yaliyotengenezwa kutoka kwenye kinyesi

KINYESHI cha binadamu hutumika sana kama mbolea katika bustani na mashambani, lakini kwa teknolojia mpya sasa kitaweza kuchujwa na kutoa maji safi na salama ya kunywa. Teknolojia hiyo mpya inatarajiwa ...

Read More »

Basi linalotumia kinyesi laonekana mitaani

Basi linalotumia kinyesi badala ya mafuta

UINGEREZA yashuhudia kwa mara ya kwanza katika miji ya Bath na Bristol basi linaloendeshwa kwa nguvu ya gesi inayotokana na kinyesi cha binaadamu pamoja na masalia ya chakula. Mwishoni mwa ...

Read More »

‘Toa chakula tujenge maabara’

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Kikwete

VIONGOZI wa halmashauri nchini wanahaha kukamilisha utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete la kujenga maabara tatu katika shule za sekondari za kata. Lakini Halmashauri ya Jiji la Mwanza imefuja ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube