BIASHARA Serengeti Apple yawakutanisha wadau kuelekea uzinduzi unaosubiriwa kwa hamu April 2, 2026 Erasto Masalu KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imewakutanisha wadau kutoka tasnia mbalimbali kama vile ulimbwende, mavazi, ubunifu, ujasiriamali na taaluma tofauti katika mkakati maalum, ambapo walipata fursa ya kufahamishwa kwa undani…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO MAKALA & UCHAMBUZI TANGULIZI Mafuta yakipanda, mzigo unaangukia walala hoi, hii itaisha lini? April 2, 2026 Erasto Masalu KUPANDA kwa bei ya mafuta nchini kumeendelea kuwa mwiba mkali kwa wananchi wa kipato cha chini, huku athari zake zikienea kwa kasi katika sekta mbalimbali za maisha ya kila siku.…
BIASHARA Bahati haina siku, Jumatano ndiyo siku yako ya kung’ara na Meridianbet April 1, 2026 Erasto Masalu Sahau kusubiri mwisho wa wiki ili ufurahie ushindi. Meridianbet wameichukua Jumatano na kuigeuza kuwa siku halisi ya mafanikio kwa wachezaji wanaojua wanachotaka. Hapa, katikati ya wiki ndipo ndoto zinapoanza kuonekana…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Bei ya mafuta Tanzania yatisha April 1, 2026 Erasto Masalu SERIKALI ya Tanzania imetangaza bei mpya ya mafuta itakayoanza kutumika kuanzia leo Jumatano, tarehe 1 Aprili 2026. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya…
BIASHARA Win&Go sasa kubadili mchezo wako, cheza leo, poteza, lipwa kesho March 31, 2026 Erasto Masalu Meridianbet wamekuja na ubunifu mwingine utakaokufanya uione michezo ya ubashiri kwa jicho jipya. Kupitia Win&Go, kila siku unapata nafasi ya kurejesha sehemu ya ulichopoteza, hii ni zawadi kwa ujasiri wako…
BIASHARA Zidisha ushindi wako na Live In-Play Booster sasa March 31, 2026 Erasto Masalu JE, unajua kuwa ukiwa na Live In-Play Booster ni rahisi kutengeneza pesa kila sekunde? Kwani hiyo sekunde na dakika zinaweza kukuletea utofauti mkubwa kati ya ushindi wa kawaida na ushindi…
BIASHARA Safari ya ushindi ipo Meridianbet kwa michezo kutoka BGaming March 30, 2026 Erasto Masalu Kila mchezaji anasubiri ile nafasi ya kipekee ya kubadili mchezo wake na sasa imefika. Meridianbet imekuletea BGaming, mtoa huduma mpya anayetikisa ulimwengu wa kasino mtandaoni kwa ubunifu, ubora na ushindi…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Bei ya mafuta yazidi kupaa duniani March 30, 2026 Erasto Masalu BEI ya mafuta duniani imepanda kwa kasi huku hifadhi zikishuka kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari leo Jumatatu asubuhi, 30 Machi 2026 kufuatia kuongezeka kwa mvutano unaoendelea…
BIASHARA NBC yaendesha kongamano maalum ‘Kuwanoa’ Wanawake Kiuchumi March 30, 2026 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeandaa kongamano maalum lililowakutanisha wanawake wafanyabiashara na wajasiriamali jijini Dar es Salaam, likilenga kuwaimarisha kiuchumi kupitia ubunifu, usalama na ujumuishaji wa kifedha. Anaripoti Mwandishi…
BIASHARA Trick or Treat Bonanza sasa kukupa njia mpya ya kutengeneza ushindi March 29, 2026 Erasto Masalu Kama ulikuwa unasubiri ishara ya kuanza kushinda, basi huu ndiyo wakati wako. Ndani ya Meridianbet, mchezo wa Trick or Treat Bonanza umegeuka kuwa gumzo kubwa miongoni mwa wabashiri wanaotafuta burudani…