ELIMU Wanachuo 2,665 CBE wahitimu ngazi mbalimbali kampasi ya Dar November 8, 2024 Erasto Masalu SERIKALI imeahidi kuendelea kukiwezesha Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili kiwe chuo bora kituo cha umahiri kwa nchi za Afrika Mashariki na kati na kusini mwa Afrika. Anaripoti Mwandishi…
SIASA TANGULIZI Wagombea wasioridhishwa na uteuzi waweke pingamizi November 8, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa…
BIASHARA SBL yaibuka kinara mzalishaji wa Pombe Kali Tuzo za PMAYA 2024 November 8, 2024 Erasto Masalu SERENGETI Breweries Limited (SBL) imeibuka kuwa mzalishaji bora wa pombe kali kwenye Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (PMAYA), zilizofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Anaripoti…
BIASHARA NBC yakabidhi gari la BMW X1 kwa mshindi kampeni ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako’ November 8, 2024 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi ya gari aina BMW X1 kwa Massana Gibril, mkazi wa jijini Arusha aliyeibuka mshindi wa zawadi kuu ya kampeni ya ’Shinda mechi…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TCC yaibuka kidedea tuzo za PMAYA Dar November 8, 2024 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango amelipongeza Shirikisho la Wenye Viwanda (CTI) kwa kuratibu vyema tuzo za wenye viwanda tangu kuanzishwa kwake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI ZA MICHEZO Bashiri na Meridianbet Alhamisi ya leo November 7, 2024 Erasto Masalu Alhamisi ni kwaajili ya mechi za EUROPA na leo hii kuna mechi zaidi ya 10 ambazo zinaenda kukupatia mkwanja wa maana. Usipitwe na ODDS KUBWA ndani ya Meridianbet, beti sasa.…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Wahariri wamparura Waziri Silaa kwa kuwakacha November 7, 2024 Erasto Masalu JUKWAA la Wahariri nchini (TEF), limemtahadharisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa kuacha tabia ya kutoshirikiana na taasisi za habari zinazomualika kwenye matukio yao. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO DC Nassari afyungua Kongamano la Wafanyabiashara wilayani Magu November 7, 2024 Erasto Masalu MKUU wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari amesema Serikali inatambua mchango wa wafanyabiashara wilayani humo katika kukuza uchumi wa wilaya na nchi kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu, Magu, Mwanza ……
SIASA Mluya awachimba mikwara wasimamizi wa uchaguzi “atakavuruga tutashughulika naye’’ November 6, 2024 Erasto Masalu CHAMA cha DP kimetoa tahadhari kwa wasimamizi wa uchaguzi kusimamia uchaguzi na mchakato wake kwa haki endapo watavuruga uchaguzi huo hawatakubali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo…
HABARI MCHANGANYIKO Wahariri uso uso na Waziri Silaa kesho November 6, 2024 Erasto Masalu JUKWAA la Wahariri nchini (TEF), linatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa nane utakaoanza kesho tarehe 7 na kutamatishwa tarehe 9 Novemba jijini Dar es Salaaam huku mgeni rasmi akiwa Jerry…