BIASHARA Meridianbet yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uchangiaji Damu kwa kuendeleza mila ya Kimataifa ya Uwajibikaji wa Kijamii (CSR) June 17, 2025 Erasto Masalu Ikiwa ni mshirika wa Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), Meridianbet kwa mara nyingine tena imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wachangia Damu kwa kuendesha kampeni ya kimataifa ya wafanyakazi kuchangia damu,…
ELIMU CBE kuendesha kongamano la kuimarisha fursa za ajira June 17, 2025 Erasto Masalu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeandaa kongamano la kuimarisha fursa za ajira na maendeleo endelevu linalolenga kuwawezesha vijana kujiajiri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yalisemwa…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO GSM kusambaza maji, vinywaji baridi kwa washiriki wa mbio za NBC Marathon June 17, 2025 Erasto Masalu MRATIBU na Muandaaji wa Mbio za NBC Dodoma Marathon, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), leo imetambulisha rasmi na kuitangaza kampuni ya GSM Group kupitia kampuni yake tanzu ya GSM…
HABARI ZA MICHEZO Ushindi mkubwa upo mechi ya River Plate vs Urawa Reds June 17, 2025 Erasto Masalu MWEZI huu wa 6 ni promosheni juu ya promosheni ambapo leo hii Meridianbet wamekuja na promosheni ya Sport ambapo mechi za Kombe la Dunia la Vilabu zinaendelea hivyo ukibashiri kwa…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi watakiwa kutekeleza majukumu yao wakiwa na hofu ya Mungu June 17, 2025 Erasto Masalu AFISA Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Akama Shaaban amewataka Maofisa (10) na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi mmoja, kwenda kuvitendea haki vyeo vyao walivyovipata kwa…
BIASHARA Je umejiunga?, weka pesa Meridianbet upate bonasi kubwa zaidi June 16, 2025 Erasto Masalu WABABE ambao wamebobea kwenye michezo ya kasino na kubashiri Tanzania Meridianbet imekuja na ofa babkubwa kwa wateja wake ambapo ukiweka pesa kwa mara ya 1, 2, na 3 utapata boasi…
BIASHARA Meridianbet waja na Samsung A25 ukicheza Super Heli June 16, 2025 Erasto Masalu MERIDIANBET imekuja na ofa bab kubwa kwa wachezaji na wapenzi wa mchezo wa kasino za mtandaoni. Sasa unaweza kujishindia simu mpya kabisa ya Samsung A25 kwa kushiriki mchezo wa kusisimua…
ELIMU Matokeo mazuri ya kitaaluma Green Acres yaifurahisha serikali June 16, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imepongeza mchango wa shule binafsi katika elimu na imezitaka shule hizo kwenda sanjari na mabadiliko ya teknolojia duniani ili kutoa wahitimu wenye uwezo wa kujiajiri na kuajiri wenzao. Anaripoti…
ELIMU GEL yawanoa wanafunzi wanaokwenda masomoni nje ya nchi June 16, 2025 Erasto Masalu ZAIDI ya wanafunzi 200 wanatarajiwa kusafiri kwenda masomoni kwenye mataifa mbalimbali kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 hivi karibuni kuanza pitia uratibu wa Global Education Link (GEL). Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mahakama yakubali ombi la serikali kukatisha ushahidi wa kwanza kesi ya Lissu June 16, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaruhusu upande wa kukatisha ushahidi walioanza kutoa leo tarehe 16 Juni 2025 mpaka pale upande huo utakapomleta mahakamani hapo shahidi mtaalamu kwa ajili ya kuwa…