Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa.
Club Brugge vs Atletico Madrid ya Diego Simeone hii ni mechi kali kabisa. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili ilikuwa ni 2022 ambapo mwenyeji aliweza kuondoka na pointi 4 baada ya mechi ya kwanza kushinda na ya pili kutoa suluhu. ODDS za kibabe zipo mechi hii sasa. Jisajili hapa.
Kwa upande wa Bayer Leverkusen yeye ataanzia ugenini dhidi ya Olympiacos ya kule Ugiriki. Mechi ya mwisho kukutana hawa wawili mwenyeji aliondoka na ushindi mnono kabisa. Hii ni mechi ambayo mgeni anahitaji kulipa kisasi siku ya leo ili mechi ya marudiano asije akapata kibarua kziito. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Tandika jamvi hapa.
Piga pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Qarabag FK ya Azerbaijan watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Newcastle United kutoka Uingereza ambao kwenye mashindano haya ya Ligi ya Mabingwa wamekuwa na kiwango kizuri kabisa. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu hatua inayofuata. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Ingia na ubashiri hapa.
Nao vijana wa Chivu, Inter Milan watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Bodoe/Glimt ambao ni moja kati ya timu ambazo zimewashangaza wengi sana baada ya kuzifunga timu kubwa ikiwemo Atletico na City. Nafasi ya kushinda pale Meridianbet amepewa Inter. Lakini hapa hii ni mechi ambayo kial timu inataka ushindi. Bashiri hapa.
ZINAZOFANANA
Bashiri mechi za UEFA na Meridianbet
Arsenal yasasa sio ajali, ni kiwango bora walichonacho
Timiza ndoto zako na Meridianbet leo