November 16, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Nafasi ya kuwa milionea na Meridianbet hii hapa

 

Leo hii ukiwa na Meridianbet unaweza ukabadilisha maisha yako kirahisi sana kwani Meridianbet wamekupa nafasi kubwa kwa kukuletea mechi zote za ligi mbalimbali ambazo pia zina machaguo zaidi ya 1000.

Italy watakuwa dimbani kusaka ushindi dhidi ya Norway huku timu hizi mbili zikiwa zinafatana kwenye msimamo wa Kundi lao kwani mwenyeji ni wa kwanza akiwa na pointi ake 18 na mgeni wake ni wa pili akiwa na pointi zake 15. Je nani kuondoka na ushindi mnono leo?. Jisajili hapa.

Mechi nyingine ya pesa ni hii ya Serbia vs Latvia ambapo mpaka sasa tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee. Kila timu inahitaji ushindi kujiweka sawa kwenye nafasi ya kushiriki michuano ya Kombe la Dunia mwakani. Meridianbet wanasema kuwa ODDS KUBWA zipo mechi hii sasa. Suka jamvi hapa.

England watakuwa kibaruani kule ugenini dhidi ya Albania ambapo vijana hawa wa Thomas Tuchel wanataka Kombe hili mwakani. Kikosi kizuri cha wachezaji ambacho tayari wanacho wanatka kuendeleza ushindi wao mpaka huko kwenye michuano hiyo. Je beti yako unaiweka kwa nani leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Cheza michezo ya kasino leo upige pesa kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Vinara wa Kundi D, France watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Azerbaijan ambao mpaka sasa wana pointi 1 pekee huku wakiwa nyuma dhidi ya washindi hao wa Kombe la Dunia 2022. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 siku ya leo. Jisajili na ushinde leo.

Mechi nyigine ni hii ya Ukraine vs Iceland ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee, mwenyeji ana pointi 7 hadi sasa huku mgeni wake akiwa na pointi 4. Mechi mbili za mwisho kukutana wawili hawa mgeni alipasuka mechi zote. Je leo hii anaweza akalipa kisasi akiwa ugenini?. Bashiri hapa.

Hungary atakuwa uso kwa uso dhidi ya Ireland ambao wanataka ushindi huu wa leo, halikadhalika wenyeji nao wanataka ushindi huu kujiweka vyema kwaajili ya kufuzu Kombe la Dunia 2026. Ni sare ambayo ilipatikana mara ya mwisho walipokutana. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Beti sasa.

Pia naye Portugal atakipiga dhidi ya Armenia ambao kwenye Kundi hilo mpaka sasa 3 pekee, huku Ronaldo na wenzake wao kama vinara wa Kundi hilo wana pointi 10 hadi sasahivi. Nafasi ya kushinda amepewa Mreno pale Meridianbet. Unangoja nini sasa kubashiri mechi hii?

About The Author

error: Content is protected !!