Golugwa wa Chadema afika nyumbani kwa Mutungi, asaini kitabu cha maombolezo
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Bara, Amani Golugwa, amefika nyumbani kwa aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Medard Mutungi, kuipa pole familia na kusaini kitabu cha maombolezo.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ….(endelea).
Dk. Mutungi alikuwa mmoja wa waasisi wa Chadema na baadaye kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Bara kutoka mwaka 1998 hadi 2004.
Dk. Mutungi alifariki dunia jana Jumapili, tarehe 26 Aprili 2026 jijini Dar es Salaam.