Wanafunzi wa darasa la saba wakifanya mtihani
BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika kuanzia tarehe 10 Septemba 2025. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea).
Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumatano tarehe 5 Novemba 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Ally Mohamed.
Jumla ya watahiniwa 1,172,279 walifanya mtihani huo kati ya hao wavulana ni 535,138 sawa na asilimia 45.65 na wasichana ni 637,141 sawa na asilimia 54.35.
INGIA HAPA KUPATA MATOKEO KAMILI
ZINAZOFANANA
Buckreef Gold yaimarisha ushirikiano na jamii, yapitia upya makubaliano yao
Jaji Mkuu kuziamua kesi za uchaguzi Zbar
Njama za kumlipa Singasinga zafichuka