
Meridianbet inaendelea kuweka rekodi mpya kwenye ulimwengu wa michezo ya kubashiri na kasino kwa kuzindua BONASI YA UKARIBISHO ya kipekee kabisa kwa wateja wapya. Sasa mteja mpya anaweza kupata bonasi tatu kwa mpigo — ikiwa ni fursa adimu ya kuongeza ushindi na kufurahia burudani zaidi.
Kwa mara ya kwanza, Meridianbet inatoa ofa ambayo inageuza ndoto za wateja kuwa ukweli:
“Pata Bonasi ya Kwanza, ya Pili na ya Tatu kwa Mpigo!”
Jinsi Inavyofanya Kazi.
✅ Dau la Kwanza: • Mteja mpya anapaswa kuweka dau ndani ya siku 6 (saa 144) tangu siku ya usajili.
• Tumia kiasi chote cha dau mara 2 kubashiri michezo kwa odds ya 1.95 au zaidi AU tumia kwa mzunguko wa mara 3 (3x rollover) kwenye sloti siku hiyo hiyo. • Baada ya kutimiza masharti, utapata Bonasi ya Michezo ya 150% na hadi mizunguko ya bure 150 kwenye kasino.
✅ Dau la Pili: • Weka dau ndani ya siku 8 (saa 192) baada ya usajili.
• Tumia kiasi chote cha dau mara 2 kwa michezo (odds 1.95+) au mzunguko wa mara 3 kwenye sloti siku hiyo hiyo. • Baada ya kutimiza masharti, utapata Bonasi ya Michezo ya 200% na hadi mizunguko ya bure 150 kwenye kasino.
✅ Dau la Tatu: • Weka dau lako ndani ya siku 10 (saa 240) baada ya usajili.
• Tumia kiasi chote cha dau mara 2 kwa michezo (odds 1.95+) au mzunguko wa mara 3 kwenye sloti siku hiyo hiyo.
• Baada ya kutimiza masharti, utapata Bonasi ya Michezo ya 250% na mizunguko ya bure 150 kwenye kasino.
Jisajili Leo, Weka Dau na Anza Mbio za Bonasi!
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuongeza ushindi wako mara tatu! Jisajili leo HAPA, weka dau lako na furahia dunia ya ushindi na mizunguko ya bure isiyokwisha!
ZINAZOFANANA
Julai yaja na neema kwa wacheza Win&Go
Zombie Apocalypse, dili la kihistoria kutoka Meridianbet na Expanse Studios
Ofa kabambe ya karibu kwa wateja wapya wa Meridianbet.