Thursday , 4 July 2024

Month: July 2024

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Biteko awataka Watanzania kulinda viumbe hai baharini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka Watanzania kulinda viumbe vya baharini na kuhifadhi mazingira ya bahari kwa ajili...

Habari za SiasaKimataifa

Waingereza kuifuta historia ya Conservatives leo?

Waingereza milioni 50 wanatarajiwa kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu leo Alhamisi, huku kiongozi wa chama cha upinzani cha Labour akitabiriwa kumbwaga waziri mkuu...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Biden agoma kujitoa uchaguzi Novemba, aangukia pua kura za maoni

RAIS wa Marekani, Joe Biden amekataa kujitoa kwenye uchaguzi wa Novemba, wakati kukiwa na shinikizo kumtaka ajitoe kwenye kinyang’anyiro hicho baada ya kushindwa...

BiasharaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia, Nyusi wapongeza mkakati wa utanuzi PBZ, yakaribishwa kufungua tawi Msumbiji

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepongeza jitihada zinazofanywa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kupitia mkakati wake wa kujitanua katika mikoa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Bwire Mtendaji mpya DAWASA

Mhandisi Mkama Bwire ameteuliwa kushika nafasi ya Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA)...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia aahidi ushirikiano Rais mpya TEC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza Serikali itaendelea kumpa ushirikiano wa dhati Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri alia siasa kushamiri matukio manane ya utekaji 2024

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema katika kipindi cha mwaka huu kuanzia Januari kumetokea matukio manane ya utekaji na...

Biashara

Jinsi ya kupiga pesa ndefu ndani ya Mweidianbet kasino

Unaijua Kasino? Kuna mchezo unaitwa Super Heli naAviator inafanya poa sana, lakini nikwambie tu MeridianbetKasino ya Mtandaoni kuna sloti moja inatema hela kamamashine...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Waziri amtaka MNEC CCM Rukwa kuheshimu uamuzi wa Serikali kufunga Ziwa Tanganyika

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvivu, Alexander Mnyeti, amemtaka Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa, Sultan Saleh...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaKimataifa

Wabunge nao wataka Spika ang’oke

SPIKA wa Bunge la Kitaifa nchini Kenya, Moses Wetang’ula, amekalia kiti cha moto baada ya baadhi ya wabunge kumtaka ang’atuke kutokana na mtindo...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mgomo wa wafanyabiashara wamng’oa Kidata TRA, mawaziri wapanguliwa

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Japan Kidata kuwa Mshauri wa Rais, Ofisi ya...

Biashara

Zaidi ya Tsh mil 284, inakusubiri, cheza kasino na ushinde 

  Mashindano ya Cash Days yanapatina Meridianbet kwenye Kasino ya mtandaoni ambapo, ukicheza michezo inayoshindaniwa unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda mgao wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Tanzania, Msumbiji kuanzisha kituo kimoja cha forodha

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema yeye pamoja na Rais wa Msumbiji, Philip Nyusi wamekubaliana kuanzisha sasa kituo kimoja cha forodha Mtambaswala...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia kugharamia matibabu ya kijana aliyetekwa

Rais Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya kijana Edgar Mwakabela, maarufu kama Sativa anayedaiwa kutekwa, kuteswa na...

Habari za SiasaKimataifa

Waandamanaji wasambaza majeneza Nairobi

WAKATI vijana wa Kenya wakitekeleza kile walichomuahidi Rais wa taifa hilo, Wiliam Ruto kwamba wanarejea kwenye maandamano kuanzia leo Jumanne, awamu hii wamekuja...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Balozi Yakubu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Comoro

Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu, leo Jumanne amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Nchi hiyo, Azali Assoumani ambapo wamepata pia...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Kobe Motor Japan kuongeza idadi ya magari yake soko la Tanzania

Kampuni ya Kobe Motor ya Japan imesema itaendelea kujitanua zaidi katika soko la Tanzania kutokana na kukua kwa mahitaji ya magari ya aina...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Kampuni kuagiza siagi isiyo na lehemu kutoka Mauritius

KAMPUNI ya World Exchange Company Limited (WEXCO), kwa kushirikiana na Quality Beverages ya Mauritius, wanatarajia kuanza kuingiza nchini siagi yenye virutubisho nane na...

Habari za SiasaKimataifa

Majasusi watibua jaribio la kumpindua rais Ukraine

SERIKALI ya Ukraine imefanikiwa kutibua njama za kuipindua serikali ambayo imekuwa hasimu mkubwa wa Urusi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Taarifa iliyotolewa na...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tofauti kati ya Rais Ruto, Naibu wake zaanikwa

TOFAUTI za kimtizamo kati ya Rais William Ruto na Naibu wake Rigathi Gachagua zimeendelea kuonekana wazi baada ya wawili kukinzana kuanzia  Jumapili tarehe...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Maandamano yaibuka upya Kenya

VIJANA wa Kenya waliojipachika jina la Generation Z (Gen Z) wameanza tena maandamano leo Jumanne katika sehemu mbalimbali za nchi hiyo hususani katika...

BiasharaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

TRA yaweka rekodi makusanyo 2024, yakusanya trilioni 27.64

WAKATI wafanyabiashara nchini wakiweka mgomo wa siku tatu kupinga makadirio makubwa ya kodi na mifumo isiyo rafiki ya ukusanyaji wa kodi, Mamlaka ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NSSF yawataka wastaafu watarajiwa kuhakiki taarifa zao

Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii (NSSF) umewataka watumishi wanaotarajiwa kustaafu kuanza kujiandaa ikiwa ni pamoja na kuhakiki taarifa zao za msingi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CAG atoa kongole kwa PPAA

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kazi nzuri...

Habari Mchanganyiko

TRA Morogoro kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara 27

MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Morogoro inatarajia kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara 27 kwa kutozingatia matumizi ya mashine za Kielektroniki (EFD). Anaripoti Christina...

Habari Mchanganyiko

Vijana washauriwa kupima VVU kukabilian ongezeko laa maambukizi

  MWAKILISHI wa Mtandao wa vijana wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania Cyprian Komba amewataka vijana kujitokeza kupima  Virusi vya UKIMWI ili kukabiliana...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Waziri Chana aagiza RITA kutoa elimu ya wosia, mirathi

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk.Pindi Chana ameagiza ofisi za wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) kwa kushirikiana na Ofisi za...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mbowe, Prof. Kitila ‘wavaana’

MITIZAMO ya kisiasa kuhusu ugumu wa mtu kuwa mwanachama wa chama cha upinzani hususani Chadema imewagonganisha Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na...

BiasharaHabari Mchanganyiko

TRC yafanya mabadiliko ya ratiba na ongezeko la safari za treni za SGR

Shirika la Reli Tanzania – TRC limetangaza mabadiliko ya ratiba na ongezeko la safari za treni za reli ya kiwango cha kimataifa –...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Msumbiji kutua nchini leo, Samia kumpokea kesho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi kesho tarehe 2...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Viongozi wa ACT jimbo zima watimkia Chadema

Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo jimbo la Kilindi mkoani Tanga jana tarehe 30 Juni 2024 wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema....

error: Content is protected !!