Kimataifa

Kimataifa

Ushindi wa Biden: Korea, China ‘zakuna  vichwa’

WAKATI dunia ikidhani imepumua baada ya Donald Trump, Rais wa Marekani (2016-2020) kuangushwa, China na Korea Kaskazini zinaweza ‘kukasirishwa’ na uamuzi wa raia wa Marekani. Inaripoti Shirika la Utangazaji la BBC ...

Read More »

Waandamanaji wamiminiwa risasi za moto Nigeria

NCHINI Nigeria, zaidi ya miili 20 imepatikana baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la nchi hiyo kuwamiminia risasi waandamanaji wanaopinga ukatili wa polisi nchini humo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa ...

Read More »

Mauaji ya Ndadaye: Rais Burundi afungwa maisha

PIERRE Buyoya, Rais Mstaafu wa Burundi, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada kubaini kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa rais wa taifa hilo, Melchior Ndadaye. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Mahakama Kuu ...

Read More »

Rais Trump, mkewe waambukizwa corona 

RAIS wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania Trump, sasa wapo karantini baada ya kukumbwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti BBC … (endelea). Kabla ya Trump na mkewe kukutwa na corona, ...

Read More »

Mpango wa amani Afghanstan wapita pagumu

ZALMAY Khalilzad, mjumbe wa Marekani katika kutafuta amani nchini Afghanstan, bado anatetea uamuzi wa kuwachia huru maelfu ya wafungwa wa Talban, ingawa bado “hafurahii na utekelezaji wa makubalino yaliyofikiwa. Anaripoti ...

Read More »

Milioni 20 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 20.1 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) duniani wamepona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mtandao wa  worldometer umeripoti leo Alhamisi tarehe 10 Septemba 2020 kuwa, maambikizo duniani ...

Read More »

Neymar, wenzake wakumbwa na corona

NEYMAR de Santos, mshambuliaji wa timu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa na wachezaji watatu wa timu hiyo, amekutwa na virusi vya corona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). ...

Read More »

Jeshi la Israel lajikoroga

DUNIA imelaani hatua ya mwanajeshi wa Jeshi la Israel, kumkandamiza kwa kifuti cha mguu kwenye shingo ya muandamanaji wa Palestina. Inaripoti Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC). Picha ya tukio hilo ...

Read More »

Pogba aambukizwa corona, atoswa Ufaransa

PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United, ameachwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa, baada ya kubainika kuambukizwa virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Kikosi ...

Read More »

Rais Mstaafu Mauritania akamatwa, ahojiwa kwa rushwa

MOHAMED Ould Abdel Aziz (63), aliyekuwa Rais wa Mauritania (2008–2019), amekamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa alipokuwa madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Rais huyo, kwa wiki moja amekuwa mikononi mwa ...

Read More »

Mtu mweusi apigwa risasi Marekani, maandamano yaibuka

MAANDAMANO yameibuka jimbo la Wisconsin nchini Marekani baada ya polisi kutuhumiwa kumpiga risasi mtu mweusi nchini humo, Jacob Blake. Inaripoti BBC…(endelea) Video zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zimeonesha Blake akipigwa ...

Read More »

Marais wastaafu Marekani wamsulubu Trump

MARAIS wastaafu wa Marekani, Bill Clinton na Jimmy Carter wamesema Donald Trump, rais wa sasa wa Taifa hilo amesababisa vurugu kwa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Wametoa ...

Read More »

Maandamano yamng’oa Rais wa Mali

RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kujiuzulu pamoja na Waziri Mkuu wake, Boubou Cissé muda mfupi baada ya wanajeshi waasi kuwakamata na kuwaweka kizuizini katika kambi ya jeshi mji ...

Read More »

Michelle Obama amshambulia Rais Trump

VITA ya maneno kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2020, sasa imebebwa na Michelle Obama, mke wa Rais mstaafu wa taifa hilo, Barack Obama dhidi ya rais wa sasa Donald ...

Read More »

Serikali, maaskofu wavurugana Zimbabwe

NCHINI Zimbabwe, Serikali imegoma kupokea barua iliyoandikwa na Baraza la Maaskofu la Katoliki ikilalamikia vitendo vya rushwa, unyanyasaji, umasikini na haki za binadamu. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Kwenye ...

Read More »

Corona dunia yafikia milioni 21, waliopona 773,122

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 21.8, waliopona milioni 14.5 huku waliofariki dunia kutokana na ugonjwa huo wakiwa 773,122. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mtandao wa ...

Read More »

Namibia yaigomea fidia ya Ujerumani

RAIS wa Namibia, Hage Geingob amekataa kupokea fidia iliyotolewa na serikali ya Ujerumani, kama fidia ya mauaji ya kimbari. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Serikali ya Ujerumani inapaswa kuilipia ...

Read More »

Biden ateua mgombea mwenza mweusi

JOE Biden, mgombea urais kupitia Chama cha Democratic nchini Marekani, amemteua Kamala Harris, Seneta wa California kuwa mgombea mwenza wake. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Kamala anakuwa mwanamke wa ...

Read More »

Mlipuko Beirut: Vifo vyafika 137

NCHI ya Bangladesh imetangaza kupeleka msaada wa chakua na dawa haraka baada ya Mji wa Beirut, Lebanon kukumbwa na janga la mlipuko. Inaripoti itandao ya kimataifa…(endelea). Mlipuko huo uliotokea Jumane ...

Read More »

727 wakutwa na corona Kenya, vifo vyafikia 364

SERIKALI ya Kenya, imetangaza wagonjwa wapya 727 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 6,371 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kenya imekuwa na ...

Read More »

Milioni 10 wapona corona duniani 

WAGONJWA milioni 10.7 wamepona ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa worldometer, unaonyesha hadi leo Alhamisi 30 Julai 2020 unaonyesha, walioambukizwa ...

Read More »

India vs China: India yaongeza ndege za kivita

WAKATI hali ya sintofahamu kati ya China na India ikishika hatamu, India imenunua ndege tano mpya za kivita aina ya Rafale zilizo na uwezo wa kurusha makombora ya masafa marefu. Inaripoti mitandao ya ...

Read More »

Bunge la Uturuki lapitisha sheria tata

BUNGE la Uturuki limepitisha sheria tata, ambayo inaipa serikali ya nchi hiyo mamlaka ya kuingilia maudhui kwenye mitandao ya kijamii na hata kulazimisha kuondolewa. Shirika la Habari la Aljazeera linaripoti…(endelea). ...

Read More »

Corona: Saa 24 watu 572 wafariki A. Kusini

SAA 24 zilizopita, watu 572 wameripotiwa kufariki dunia nchini Afrika Kusini kwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti BBC … (endelea). Baraza la Utafiti wa ...

Read More »

Masista 12 wafariki ndani ya siku 30

MASISTA 12 katika Mji wa Michigan, Marekani wamepoteza maisha ndani ya siku 30 (Mei 2020), kwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Mtandano wa CNN umeripoti…(endelea). ...

Read More »

Kanye West aanza kampeni za urais Marekani

KANYE West, mwamauziki wa mtindo wa kufoka foka, ameanza safari ya kutaka kuwa rais wa Marekani kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Tayari amefanya mikutano katika ...

Read More »

Mbinu za China zaishtua FBI

CHRISTOPHER Wray, Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Mareani (FBI) amesema, vitendo vya Serikali ya China ni tishio kwa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Akizungumza katika Taasisi ya Hudson ya mjini ...

Read More »

Kenya kufungua shule Januari 2021

SERIKALI ya Kenya imesema, shule za msingi na sekondori nchini humo zitafunguliwa Januari 2020. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu,Profesa George Magoha alipozungumza na ...

Read More »

Mauaji ya watu 166 Ethiopia

JESHI la Polisi nchini Ethiopia, limethibitisha mauaji ya watu 166, raia wa taifa hilo kwenye maandamano ya kulaani mauaji ya mwanamuziki Haacaaluu Hundeessa. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). “Mauaji ya watu 166 ...

Read More »

UN: video ya ngono yasimamisha kazi wawili

MAOFISA wawili wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN), waliokuwa wanaotajwa kufanya ngono kwenye gari la shirika hilo nchini Israel, wamepelekwa likizo ya bila malipo. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). ...

Read More »

JPM ateta na Rais Nyusi kwa simu

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo kwa simu na Rais wa Msumbuji, Filipe Nyusi kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo uhusiano na ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili ya Bara ...

Read More »

Wagonjwa 307 wa corona waripotiwa Kenya

WAGONJWA wapya 307 wa virusi vya corona (COVID-19), wameripotiwa nchini Kenya baada ya sampuli 3,591 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kenya imekuwa na ...

Read More »

Sudani kwalipuka tena

MAELFU ya raia wa Sudani, wamerudi mtaani kufanya maandamano upya wakisema, walichokitaka kwenye maandamano ya awali, hakijafanikiwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Licha ya kuwepo kwa tishio la virusi vya ...

Read More »

Rais mpya Malawi ateua maswahiba zake

RAIS mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera ameanza uteuzi wa watu watakaomsaidia kuendesha serikali yake wakiwemo maswahiba zake. Inaripoti itandao ya kimataifa … (endelea). Rais huyo aliyetokana na chama cha upinzani cha ...

Read More »

Trump alikoroga, atuma video ya ubaguzi Twitter

“NGUVU ya wazungu” ndio maneno ya mfuasi mmoja wa Donald Trump, Rais wa Marekani yaliyomo kwenye video ambayo (Trump) ametuma kwenye ukurasa wake wa twitter. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). ...

Read More »

Mutharika alia kupokwa ushindi

CHAMA tawala cha Democratic Progressive Party (DPP), kinachoongozwa na aliyekuwa rais wa nchi hiyo Peter Mutharika, kimelalamika kupokwa ushindi wake na chama cha upinzani cha Malawi Congress. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Francis Mphepo, katibu ...

Read More »

Upinzani washinda Urais Malawi

LAZARUS Chakwera, Kiongozi wa upinzani nchini Malawi, ameibuka mshindi wa Urais katika uchaguzi wa marudio nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa msaada wa mashirika ya kimataifa…(endelea). Tume ya Uchaguzi Malawi ...

Read More »

Corona yaendelea kuitesa Kenya, vifo vyafikia 137

SERIKALI ya Kenya imeripoti wagonjwa wapya 149 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 3,090 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti Mitandao ya Kimataifa  … (endelea) Maambukizo yamefikia ...

Read More »

Mwili wa Nkurunziza kuzikwa leo 

SAFARI ya mwisho hapa duniani ya aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza inahitimishwa leo Ijumaa tarehe 26 Juni 2020. Anaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Mwili wa Nkurunziza aliyefariki dunia ...

Read More »

Upinzani kuchukua nchi Malawi

KUNA kila dalili kwamba, mgombea wa upinzani nchini Malawi, anaweza kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika juzi tarehe 23 Juni 2020. Unaripoti mtandao wa Nyasatimes…(endelea). Taarifa za awali kwenye ...

Read More »

Wagonjwa 254 wakutwa na Corona Kenya

UGONJWA  wa virusi vya corona (COVID-19) umeendelea kushika kasi nchini Kenya baada ya wagonjwa wapya 254 kuripotiwa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Taarifa iliyotolewa leo Jumatano tarehe 24 Juni ...

Read More »

Mutharika atavuka? Malawi wapiga kura leo

SWALI kubwa linalogubika Malawi na sehemu ya Afrika, ni kwamba Rais Peter Mutharika atashinda kwenye uchaguzi unaofanyika leo Jumanne tarehe 23 Juni 2020 nchini Malawi? Mutharika anapambana ili kupata ridhaa ...

Read More »

Trump aita corona ‘kung flu’

KAULI ya Donald Trump, Rais wa Marekani kuita virusi vya corona (COVID-19), ‘kung flu’ imetetewa na msemaji wa Ikulu nchini humo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Akizungumza Tulsa, Oklahoma mwishoni mwa wiki, ...

Read More »

Milioni 9 waambukizwa corona duniani

MAAMBUKIZO ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 9.19 huku waliopona wakiwa milioni 4.94. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa ‘worldometer’ leo Jumanne tarehe ...

Read More »

Kampeni 2020: Facebook yang’oa matangazo ya Trump

MTANDAO wa kijamii wa Facebook, umeng’oa matangazo ya kampeni ya Donald Trump, Rais wa Marekani kwamba yanachochea ubaguzi. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa ya mtandao huo imeeleza, imechukua hatua hizo kwa ...

Read More »

‘Shubiri’ inayomsubiri ‘Rais’ Ndayishimiye

JENERALI Evariste Ndayishimiye, rais mteule wa Burundi, anaapishwa leo kuongoza taifa hilo kwa miaka saba, anachukua nafasi ya Pierre Nkurunziza ambaye alifariki dunia tarehe 8 Juni 2020. Inaripoti mitandao ya kimataifa ...

Read More »

Uganda yapiga marufuku kampeni za majukwaani

TUME ya Uchaguzi ya Uganda imepiga marufuku mikusanyiko ya kampeni za jukwaani na kuagiza, kampeni za uchaguzi mkuu zifanyike kupitia vyombo vya habari. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Kwenye uchaguzi ...

Read More »

Corona yatikisa Kenya, watumishi wanne Ikulu waambukizwa

UGONJWA unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) umeendelea kutikisa nchini Kenya, baada ya watumishi wanne wa Ikulu kubainika kuwa na ugonjwa huo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Taarifa iliyotolewa ...

Read More »

Mweusi akutwa kanyongwa California

ROBERT Fuller (24), mmarekani mweusi amekutwa ananing’inia kwenye mti baada ya kunyongwa katika mji wa Palmdale, Califonia nchini Marekani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Familia ya Robert imetaka maelezo kutoka kwa jeshi ...

Read More »

Unyama wa polisi Kenya

POLISI watatu nchini Kenya, wamekamatwa kwa tuhuma za kumfunga kamba Mercy Cherono (21) kwenye pikipiki, kisha kumburuza kwa tuhuma za kuhusika katika uporaji. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Mercy ...

Read More »
error: Content is protected !!