BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetangaza kwa masikitiko kifo cha Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa, Bernardin Francis Mfumbusa, kilichotokea tarehe 14 Aprili 2026 majira ya saa 11:45 asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya dharura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea). Kwa mujibu wa taarifa hiyo, marehemu anatarajiwa kuzikwa 22 Aprili 2026 katika Jimbo Katoliki Kondoa. Inakumbukwa kuwa 9 Aprili 2026, Baba Mtakatifu Pope Leo XIV alikuwa amemteua Askofu Mfumbusa kuwa Mjumbe wa Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Jamii, pamoja na kuwa Rais wa Kamati ya Mawasiliano ya Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Afrika na Madagascar (CEPACS). Share this… Facebook Pinterest Twitter Linkedin Whatsapp About The Author Fedrick Gama See author's posts Post navigation Waziri Homera azitaka Bodi za wadhamini kuwajibika zaidi Mmoja auawa, 40 mbaroni sakata la ‘nyeti’ Zbar