Kama wewe ni mchezaji anayejua thamani ya kila dau, basi huu ni muda wako wa kubadilisha mchezo. Meridianbet imekuja na dhana mpya kupitia promosheni ya Lucky Friday, ambapo lengo siyo kushinda tu, bali kuhakikisha hupotezi bila kupata faida fulani. Hapa ndipo akili ya ushindi inaanzia.
Ni kiurahisi tu, chagua namba zako kwenye Lucky 6 au Keno siku ya Ijumaa. Hapo ndipo mchezo unaanza. Bila kujali matokeo, siku ya Jumamosi unarudishiwa 10% ya fedha zako ulizotumia. Hii si bahati tu, ni mfumo uliopangwa kukuweka karibu na ushindi kila wakati.
Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.
Kwa dau la chini kabisa la TZS 500, hakuna sababu ya kusubiri au kusita. Hii ni nafasi ya kila mmoja, iwe unacheza kwa mazoea au unatafuta njia ya kuongeza mapato yako ya ziada. Kila tiketi unayocheza sasa ina thamani ya zaidi ya mchezo wenyewe.
Na kwa wale wanaopenda kucheza mara kwa mara, unaweza kufikia hadi TZS 25,000 kama pesa unayorudishiwa ndani ya wikiendi moja. Kiasi hiki kinahesabiwa moja kwa moja kutokana na 10% ya hasara zako, kukupa nafasi ya kurudi tena mezani ukiwa na nguvu mpya.
Huu sio mchezo wa kubahatisha, ni mfumo wa kucheza kwa akili. Ingia Meridianbet sasa, tumia Lucky Friday kama silaha yako ya ushindi, na ugeuze kila Ijumaa kuwa uwekezaji wa kweli. Bahati inapenda waliojiandaa.
ZINAZOFANANA
Meridianbet yaweka alama muhimu kwa kuwakumbuka wagonjwa waliolazwa
NBC yahitimisha Kampeni Kuhamasisha Kilimo cha Korosho Tandahimba, yakabidhi trekta kwa TANECU
RITA yapokea madai 248 kutoka kwa wadai mbalimbali wa kampuni ya Pride