Mwaka mpya umeanza, na Meridianbet inakupeleka kwenye sherehe ya kweli ya burudani na ushindi kupitia Sweet Holiday Chase. Mchezo huu wenye zawadi zenye thamani ya zaidi ya Tsh. 14,500,000,000/- ni mlango wa fursa za bahati nasibu zinazobadilisha kila mzunguko kuwa shangwe ya papo kwa papo.
Kila mzunguko unakuwa kama nafasi ya kushinda bila kikomo. Zawadi hujitokeza kila wiki, huku kila mshiriki akipata nafasi sawa, hakuna masharti magumu, hakuna kuchelewa kusubiri, kila beti ni fursa ya kuondoka na zawadi. Hii ni njia ya Meridianbet kuonyesha kuwa burudani inafaa kila hatua unayochukua.
Uhalisia wa kampeni hii ni urahisi na kasi yake. Hushiriki ni wa urahisi, bila presha ya vikwazo, na mfumo unakuacha ufurahie michezo huku zawadi zikija ghafla. Ni burudani inayokuletea hadithi yako ya ushindi, hatua kwa hatua.
Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Shangwe inaongezeka pale zawadi zinapojitokeza bila kutarajia. Kutoka mizunguko ya bure hadi nafasi ya kunyakua hadi mara 500 ya dau lako, kila mzunguko unajilipa, unakuletea hisia za kushinda ambazo hazipimiki. Ni kama bao la mwisho la fainali kwenye dimba lililojaa mashabiki.
Sweet Holiday Chase ni ushuhuda wa Meridianbet wa msimu wa mapumziko uliojaa fursa. Huu ni wakati wako kugeuza mapumziko kuwa tamasha la bahati, msisimko, na ushindi na kila sekunde, kila mzunguko, unakaribia zawadi inayobadilisha mchezo wako. Hapa, burudani na ushindi vinakutana bila masharti.
ZINAZOFANANA
Meridianbet yachochea mwamko wa usafi wa mazingira Mbezi Juu
Nufaika na Meridianbet leo
Meridianbet yakupa njia mpya kuondoka na Samsung A26