Jumatano ya zawadi imekufikia na Meridianbet siku ya leo ambapo wale ambao hutumia vitochi kufanya ubashiri sasa wanaweza kujishindi simu janja kali kabisa ndani ya Meridianbet kwa kubashiri mechi wazitakazo.
Promosheni hii ya kibabe kabisa imeanza mwezi huu na itaneda mpaka mwisho wa mwezi huu yaani Novemba 30, huku wateja wa Meridianbet wakihimizwa kuchangamkia fursa hii ya kibabe kabisa.
Kwa kubonyeza *149*10, Meridianbet inakupa nafasi ya kipekee kubashiri mechi yoyote unayoitaka, kwa urahisi bila hata kutumia intaneti. Ni hatua chache tu zinazokuweka kwenye mstari wa mbele wa washindi. Unachotakiwa kufanya ni kupiga *149*10#, kuchagua mechi zako, kuweka ubashiri wako na ungoje sasa kutangazwa mshindi.
Simu hizo za Samsung A26 hutolewa kila Jumatano baada ya kufanya droo kubwa kabisa ya kumpata mshindi, huku Meridianbet wakisema kuwa kwenye tiketi ambayo utakuwa umetengeneza lazima ianzie timu 3 na kuendelea ndipo uhesabike upo kwenye washindani.
Piga pesa ya haraka kabisa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Huu ni mwaliko wa kuchangamkia zawadi. Ni wimbo wa ushindi unaowaita wote walio tayari kuweka dau na kuamini safari yao. Hata kama ni ubashiri wa kwanza au wa mia, Jumatano hii inaweza kuwa ya pekee kwako.
Usiache nafasi hii ikupite. Piga *149*10# sasa, weka ubashiri wako, na jiandae kusherehekea ushindi. Meridianbet kila dau lina nafasi, kila mteja ni mshindi mtarajiwa hivyo nafasi ndiyo yako leo hii.
Kumbuka kuwa Tiketi za Turbo Cash hazitahesabiwa kabisa, hivyo basi kama unataka kushiriki kwenye kuwania Samsung A26 unatakiwa usubiri mechi zako zote zichezwe ndipo uwe umefuzu kwenye promosheni hii.
ZINAZOFANANA
TVBET kukupa michezo mubashara ndani ya Meridianbet
Meridianbet yaipa kasino mtandaoni uso mpya na Aspect Gaming & Superspade Games
Clash 4 Ca$h yawasha moto mpya na mamilioni ya zawadi kutoka Meridianbet