October 12, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet na uhakika wa pesa kufuzu Kombe La Dunia 2026

 

Moto wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 umefika hatua nyingine barani Afrika, huku timu za taifa zikijitupa uwanjani kwa mbinu kali na nguvu ya kutafuta tiketi ya kuelekea kwenye ushiriki wa Kombe la Dunia. Katika makundi A, E na I, mechi za wiki hii zimejaa ushindani wa hali ya juu, na mashabiki wanazidi kuhamasika, si tu kwa burudani ya uwanjani, bali pia kupitia jukwaa la ubashiri la Meridianbet.

Kwenye Kundi A, macho yote yataelekezwa kwa Misri wanaowakaribisha Guinea-Bissau saa 4 usiku. Pharaohs kama kawaida yao, wanasifika kwa kucheza soka la kasi, huku wakiwa wamesheheni wachezaji wa kimataifa wakiongozwa na mastaa wanaosakata soka Ulaya.

Wakati huo huo, Burkina Faso watapambana na Ethiopia, huku Djibouti wakikabiliana na Sierra Leone. Mechi zote zinatarajiwa kutawaliwa na mbinu za kisasa na presha ya pointi tatu. Kwa mashabiki wa Meridianbet, hizi ni fursa za dhahabu kuweka mikeka ya ushindi.

Usisahau kasino ya mtandaoni, chukua nafasi kwenye michezo kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Ingia sasa na ongeza nafasi zako za kushinda. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Kundi E litakua na mchezo mmoja pekee, Zambia watakuwa wenyeji wa Niger mnamo saa 10 jioni. Chipolopolo wanasifika kwa kucheza soka la nidhamu ya hali ya juu. Kwenye msimamo, Zambia hawapo kwenye hali nzuri kwani wanashika nafasi ya 4 na mchezo wa leo ni kwa ajili ya kukamilisha ratiba pekee. Meridianbet inawapa mashabiki odds za kuvutia na bonasi za kutosha kwenye mchezo huu.

Kundi I linafunga pazia kwa mechi tatu za moto. Chad wanakabiliana na Jamhuri ya Afrika ya Kati saa 1 jioni, mechi itakayokuwa na ushindani wa karibu kutokana na ujirani uliopo baina ya mataifa haya mawili. Baadaye saa 4 usiku, Ghana watachuana na Comoros, huku Mali wakipambana na Madagascar. Hizi ni mechi zinazovutia mikeka mingi pale Meridianbet.

Katika kipindi hiki cha ushindani wa mechi za kimataifa, kama unatafuta njia ya kuongeza kipato na burudani, basi Meridianbet ndiyo uwanja wa pili wa ushindi. Jiunge na ushindi, kwa sababu washindi wanabashiri na Meridianbet.

About The Author

error: Content is protected !!