FEDHA zako zipo kwenye nafasi ya kujizalisha zaidi kwa kujiweka kwenye nafasi ya kushinda kila siku na Meridianbet. Kucheza mchezo maarufu wa kasino ya mtandaoni, Win&Go, sasa sio suala la kujiuliza mara mbili kwa sababu Meridianbet inarejesha 10 % ya pesa ulizopoteza siku iliyopita kama Win&Go bonus.
Ikiwa ulipoteza angalau Sh. 10,000, bonasi itatolewa kesho itakua ni 10% sawa na Sh.1000 na nafasi ya pesa inayorudi itafika hadi Sh. 15,000 kwa siku kulingana na dau uliloliweka. Huo ni uhakika wa kwamba usishindwe kucheza leo, kisa tu ulipata hasara jana, yaani hata ukipoteza, unaweza kurudi kwa nguvu mpya kesho, bila hofu.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Win&Go kutoka Expanse Studios, ni mchezo mkali wa bahati nasibu unaochezwa kila baada ya dakika tano. Uchezwaji wake ni mwepesi tu, unachagua namba sita hadi kumi kati ya 48, mfumo unatoa namba 35 kwa kila raundi, na unashinda kulingana na idadi ya namba zako zilizopatikana kwenye droo.
Kitu cha ajabu ni nafasi maalum za gift positions. Ikiwa namba yako moja inaanguka kwenye gift position, utarejeshewa dau hata kama haujashinda na ikiwa namba zilizotokea kwenye gift position ni mbili, unalipwa mara nne. Na sio hiyo pekee, pia ipo Golden Rounds ambapo unaweza kushinda mara dufu.
Meridianbet imekua ikitoa promosheni nyingi sana kwenye michezo. Mizunguko ya bure, bonasi za ukaribisho na promosheni nyingi katika mfumo wa casino. Huu ni utambulisho kwamba wamewakumbuka wapenzi wa Win&Go na kutoa ofa hii ya namba moja, yenye nguvu na yenye kukuletea faida ya kurejeshwa sehemu ya dau lako ulilopoteza.
Ikiwa wewe ni mchezaji mpya au mwenye uzoefu, hii ni fursa ya madhubuti kwako. Jisajili sasa Meridianbet, cheza Win&Go, na uanze kuvuna heshima na bonasi mbalimbali kutoka kwenye kampuni inayoongoza michezo ya bahati nasibu nchini Tanzania.
ZINAZOFANANA
Tanzania yaibuka kinara wa utalii duniani
TRA yawataka wanachama wa SACCOS kuhamasisha ulipaji kodi
Badili mizunguko yako kuwa tuzo na Holiday Drops 2025 kutoka Meridianbet