
Mashabiki wa soka barani Afrika wanashuhudia moto wa kweli katika kampeni za kufuzu Kombe la Dunia 2026, huku kila kona ya bara ikiwaka na hamasa, ushindani na ndoto za kufika Marekani, Kanada na Mexico. Leo, ratiba ya mechi imejaa burudani ya hali ya juu, na kwa watumiaji wa Meridianbet, ni siku ya dhahabu ya kubashiri kwa ustadi na kuishi ndoto ya ushindi.
Katika Kundi A, Ethiopia na Guinea-Bissau wanakutana saa 10 jioni kwenye pambano linalotabiriwa kuwa la mvuto wa hali ya juu. Meridianbet imeweka odds zinazosisimua, zikitoa nafasi kwa mashabiki kuchagua kwa ujasiri. Usiku ukifika, Djibouti inaingia dimbani dhidi ya miamba wa Afrika, Egypt. Odds za Egypt kushinda ni tamu kwelikweli, lakini kwa wanaoamini katika miujiza ya soka, Djibouti inaweza kuwa hadithi ya usiku huu.
Sierra Leone na Burkina Faso wanakamilisha burudani ya Kundi A kwa mtanange wa usiku, huku Meridianbet ikiwapa mashabiki nafasi ya kuchambua kwa kina na kuweka mikeka yenye thamani.
Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za vilabu za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.
Kundi D linawasha moto mapema, Eswatini ikichuana na Angola, huku Libya ikipambana na Cape Verde saa 10 jioni. Baadaye, Mauritius inakutana na Cameroon saa 1 usiku. Odds za Meridianbet zimepangwa kwa ustadi, zikizingatia kila kipimo cha soka, kuanzia uwezo wa vikosi hadi hali ya hewa. Cameroon, yenye mastaa wanaotamba Ulaya, imepewa nafasi kubwa, lakini Mauritius wanaweza kuandika historia mpya.
Kundi E linatoa ladha ya soka ya Afrika Mashariki, Tanzania ikiwakaribisha Zambia saa 4 usiku pale Amani Stadium, Zanzibar. Mashabiki wa Taifa Stars wana kila sababu ya kuamini, kwani Meridianbet imeweka odds zinazowapa matumaini ya ushindi wa nyumbani. Niger na Congo pia wanashuka dimbani kwa wakati huo, na kwa wanaopenda mikeka ya mechi nyingi, mazingira ni rafiki na odds ni kabambe.
Usiku wa Kundi I ni usiku wa moto kwa mechi tatu kubwa, Ghana dhidi ya Central African Republic, Mali dhidi ya Chad, na Comoros dhidi ya Madagascar. Odds za Meridianbet zimeweka uwiano mzuri kati ya uzoefu na kasi ya timu chipukizi. Kwa mashabiki wa soka na kubashiri, huu ni usiku wa kuchanganya burudani na uwekezaji wa kimkakati.
Leo ni usiku wa kihistoria kwa timu za mataifa ya Afrika lakini hii haiishii uwanjani tu, leo pia ni usiku wa kihistoria kwa wabashiri wanaotumia meridianbet.
ZINAZOFANANA
Ofa kabambe ya karibu kwa wateja wapya wa Meridianbet.
Bashiri bingwa wa EPL na Meridianbet umalize msimu kitajiri
Jumapili ya mechi za kibabe na ushindi kutoka Meridianbet