
Kwa mara nyingine tena Meridianbet imezindua promosheni kabambe inayowapa wachezaji wake nafasi ya kushinda simu mpya za Samsung A25 kila wiki kupitia mchezo maarufu wa Aviator. Promosheni hii, iliyoanza rasmi tarehe 1 Septemba 2025 na kuendelea hadi tarehe 30 Septemba 2025, inalenga kuwathamanisha wateja waaminifu kwa njia ya kipekee na ya kusisimua.
Kila Jumatatu ya wiki, Meridianbet itatangaza washindi wawili waliocheza Aviator kwa ustadi na kufuata masharti ya promosheni. Washindi hao watajinyakulia moja ya simu nane za Samsung A25 zinazotolewa katika kipindi chote cha promosheni. Zawadi hizo zitatolewa siku hiyo hiyo, kuhakikisha furaha ya ushindi haicheleweshwi.
Aviator ni mchezo wa kasino mtandaoni unaovutia kwa urahisi wake wa kuchezwa na msisimko wake wa hali ya juu. Mchezaji huweka dau lake kabla ndege haijaanza kupaa, na kadri ndege inavyopaa, dau huongezeka kwa kasi. Siri ya ushindi ni kutoa pesa kabla ndege haijalipuka, ukichelewa, unapoteza dau lako. Kwa mkakati sahihi, unaweza kujipatia ushindi mkubwa ndani ya sekunde chache tu.
NB; Meridianbet haijabaki nyuma katika kutoa burudani ya kiwango cha juu. Mbali na Bonanza, kuna michezo ya kasino mtandaoni inayovutia na mechi za kimataifa zenye odds kabambe. Hii ni fursa ya kuongeza kipato chako kila siku kwa njia rahisi na ya uhakika. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Ili kushiriki katika promosheni hii, unahitaji kuwa mteja aliyesajiliwa kwenye tovuti ya meridianbet.co.tz au kupitia programu rasmi ya Meridianbet. Kwa wale ambao bado hawajasajiliwa, mchakato ni mwepesi, salama, na wa haraka. Mara tu unapojisajili, unaweza kuanza kucheza Aviator na kuingia moja kwa moja kwenye droo ya wiki.
Katika kipindi chote cha promosheni, jumla ya washindi nane wataondoka na simu mpya za Samsung A25. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri kufurahia burudani ya Aviator huku wakijipatia zawadi ya thamani.
Usikubali kupitwa na promosheni hii ya kusisimua. Jisajili Meridianbet leo, cheza Aviator kwa ustadi, na uwe miongoni mwa washindi wa kila wiki. Bahati yako inaweza kuanza sasa, usiikose.
ZINAZOFANANA
Meridianbet yaendeleza harakati za usafi hospitali ya Mwenge
NBC yazindua msimu wa nne wa kampeni ya NBC Shambani kwa wakulima wa korosho Mtwara
Vodacom wazindua ofisi mpya ya Kanda ya Kaskazini jijini Arusha