
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imezindua promosheni mpya yenye msisimko wa aina yake inayojulikana kama Shinda na Super Heli. Promosheni hii inakupa burudani ya kipekee, lakini pia inakuweka karibu zaidi na zawadi nono, simu janja ya kisasa kabisa, Samsung Galaxy A25.
Katika mchezo wa Super Heli, mchezaji huongoza helikopta angani huku akikusanya ushindi kadri inavyopaa. Ikiwa umewahi kucheza Aviator, basi utakuwa unajua namna mchezo huu unavyokupa msisimko mkubwa kwa muundo wa kipekee na nafasi bora za kubeti kwa kiwango chochote unachotaka.
Promosheni ya zawadi ya simu imeanza rasmi tarehe 1 Agosti na itaendelea hadi 31 Agosti, ambapo kwa kila wiki ya promosheni hii, wachezaji wawili wataondoka na simu mpya na siku rasmi ya kutangaza washindi itakuwa kila Jumatatu ya wiki. Hii ina maana, nafasi ya kushinda ni ya kila wiki.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kushiriki ni rahisi mno. Kama tayari una akaunti ya Meridianbet, basi ingia kwenye tovuti meridianbet.com au pakua app kwenye kifaa chako. Kama bado huna akaunti, fungua sasa bila gharama yoyote. Kisha, cheza Super Heli mara nyingi kadri uwezavyo. Hili kushiriki promosheni hii hauhitaji usajili maalum.
Ni muda wa kufurahia mchezo unaokuongezea ushindi na pia kukuwezesha kupata simu mpya bila kutumia hata senti ya ziada. Ingia sasa Meridianbet, fungua akaunti, weka dau na ucheze Super Heli kisha jiandae kuwa miongoni mwa washindi wa Jumatatu ijayo.
ZINAZOFANANA
Shindano jipya kutoka Meridianbet, karibu ulimwengu wa Zombie Apocalypse
NBC yaibuka kinara Tuzo ya Benki Bora ya Kidigitali Tanzania
Meridianbet watangaza ujio wa Imoon, mtoa huduma mpya