July 18, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Bado unataka simu Mpya? Meridianbet wana Samsung A25 kwa ajili yako

NGOJA nikwambie kitu mdau, kama bado unasubiria bahati ya kushinda bila kuweka juhudi kidogo basi utachelewa sana kwani bahati inamfata mwenye bidii. Lakini kama unataka kupata Samsung A25 mpya, Meridianbet wanasema, Karibu kwetu, huku kujishindia simu ni juhudi zako wewe tu.

Kuanzia tarehe 01 Julai hadi 31 Julai 2025, Meridianbet wamekuja na hii mpya kabisa, wamesema kila mtu ana nafasi ya kuondoka na simu mpya bila presha ya masharti magumu. Unachotakiwa kufanya ni nini? Unajiunga na Meridianbet, unaweka dau lako na unaanza kucheza michezo mbalimbali kwenye jukwaa hili namba moja la michezo ya ubashiri nchini. Iwe kasino mtandaoni au ubashiri wa mechi mbalimbali zinazoendelea.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Sasa hapo ndipo mchezo unaanza. Kila unapocheza mchezo wowote, unajiongezea nafasi zaidi na kujikatia tiketi ya ushindi kuelekea kwenye droo itakayofanyika tarehe 01 Agosti 2025. Lakini suala la muhimu kujua kwa watumiaji wenye malengo ya kujishindia simu ni kwamba tiketi za system na zile zilizofanyiwa cash out hazihesabiwi. Hii ni droo ya wale wanaoweka mzigo na wanacheza bila kurudi nyuma.

Sasa hivi kila mtu anapiga hesabu ya kujipatia simu mpya. Samsung A25 si lelemama, ni simu yenye uwezo wa hali ya juu, kamera kali, speed ya ukweli na muonekano wa kifahari. Je, utabaki kuichezea kwenye ndoto au utachukua hatua sasa?

Usikubali marafiki zako wakupige picha na simu walizoshinda kupitia Meridianbet wakati wewe unasubiri bahati isiyokuja. Jisajili sasa, weka dau na ucheze mchezo wowote. Huu ni mwezi wa ushindi. Jiandae kuwa kwenye list ya washindi tarehe 01 Agosti.

About The Author

error: Content is protected !!