Kama ilivyo kawaida Meridianbet haijihusishi na michezo ya kubashiri pekee bali pia hujihusisha na kurejesha kwenye jamii kile kidogo ambacho hukipata kwa lengo la kuisaidia jamii kwenye changamoto zao.
Na leo kampuni hiyo ya Meridianbet iliamua kusaidia jamii kwa kugawa Aprons kwa mama ntilie wanofanya kazi katika maeneo ya karibu na Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Msaada huu unalenga kuboresha usalama na hali ya kazi kwa wanawake hawa, ambao ni sehemu muhimu katika jamii kwa kutoa huduma za chakula kwa wananchi.
Ijumaa ya leo unaweza kubashiri na Meridianbet mechi za leo ili uweze kupiga pesa sasa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Jisajili hapa.
Msafara huo wa kugawa Aprons kwa mama Ntilie uliongozwa na Mhariri wa kampuni hiyo Bi Nancy Ingram ambapo yeye pamoja na jopo lake walifika eneo hilo na walipokelewa vizuri na wafanyabiashara wa eneo hilo.
Baada ya kutoa Aprons kwa mama Ntilie hao, Nancy alisema kuwa, “Tunafurahi kuwa sehemu ya juhudi hizi za kuboresha maisha ya mama ntilie, ambao ni wahudumu muhimu kwa jamii yetu. Tunatambua changamoto wanazozipitia kila siku katika kufanya kazi zao na tunatumai kuwa msaada huu utaleta mabadiliko kwa kuwapa vifaa bora vya kazi. Aprons hizi zitasaidia kupunguza hatari ya majeraha na pia kuboresha huduma wanazotoa.”
Meridianbet ilitoa Aprons hizo kwa mama ntilie wengi walioko karibu na Hospitali ya Muhimbili, ambapo wengi wao hujizatiti katika mazingira magumu. Aprons hizo zitasaidia kuboresha usafi na mazingira za kazi, lakini pia zitamsaidia mama ntilie kuhifadhi chakula kwa usalama na kwa ufanisi.
Lakini pia kwa upande wa mama ntilie ambaye alipokea Apron alisema kuwa, “Nashukuru sana kwa msaada huu kutoka Meridianbet. Aprons hizi zitatusaidia sana kutekeleza kazi zetu kwa usalama zaidi na kwa ufanisi. Tunafurahi kuona kwamba kampuni inatambua umuhimu wa kazi yetu na kutusaidia kuboresha mazingira yetu ya kazi.”
Wakali hao wa ubashiri Tanzania wanaendelea kupita sehemu mbalimbali ili kusaidia jamii kutatua changamoto zao. Lakini pia kupitia Meridianbet pia kampuni nyingine zinaweza kuona na kutoa msaada kwa jamii inayotuzunguka kwani watu wengi wanahitjia kushikwa mkono.
ZINAZOFANANA
Askari wawili JWTZ wapoteza Maisha Goma, DR Congo
Pata bonasi ukijiunga na Meridianbet sasa
Mmachinga wa Kariakoo ashinda BMW X1 ya kampeni ya NBC