BIASHARA Pazia la Halloween limefungwa, ushindi wafunguliwa Meridianbet January 3, 2026 Erasto Masalu Hata baada ya msimu wa Halloween kuhitimishwa, msisimko wake bado unaendelea kuonekana ndani ya Meridianbet. Kupitia mchezo wa kasino mtandaoni Gates of Halloween, wachezaji wanapewa nafasi ya kuingia kwenye ulimwengu…
KIMATAIFA TANGULIZI Nicolás Maduro, ang’olewa madarakani, ashikiliwa Marekani January 3, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Venezuela, Nicolás Maduro, amekamatwa na kung’olewa mamlakani na Marakani, kufuatia mashambulizi makubwa nchini mwake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Waziri wa Ulinzi wa taifa hilo,…
KIMATAIFA TANGULIZI Mvutano Mpya wa Kimataifa: Marekani, Venezuela na hatma ya Maduro January 3, 2026 Erasto Masalu TAMKO la Rais wa Marekani, Donald Trump, kudai kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kumkamata Rais Nicolas Maduro pamoja na mke wake, limeibua mshtuko mkubwa…
HABARI ZA MICHEZO ODDS KUBWA zipo Meridianbet leo January 2, 2026 Erasto Masalu Leo hii wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa kutengeneza pesa ni rahisi sana kama ukiamua kusuka jamvi lako la ushindi leo. Mechi zilizopo zina Odds za kibabe hivyo ingia na…
BIASHARA Sweet Holiday Chase kukupa ushindi unaong’ara kila sekunde January 2, 2026 Erasto Masalu Mwaka mpya umeanza, na Meridianbet inakupeleka kwenye sherehe ya kweli ya burudani na ushindi kupitia Sweet Holiday Chase. Mchezo huu wenye zawadi zenye thamani ya zaidi ya Tsh. 14,500,000,000/- ni…
SIASA TANGULIZI Mwaka 2026 ni wa kujenga Taifa kwa misingi ya Katiba – OMO January 2, 2026 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amewataka Watanzania kuutumia mwaka mpya wa 2026 kama fursa ya kuliponya Taifa na kulirejesha kwenye misingi sahihi ya kikatiba, kisheria na…
HABARI MCHANGANYIKO Rais Samia atoa salamu za pole vifo 10 katika ajali ya Morogoro January 2, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa mkoa wa Morogoro, Adam Malima, kufuatia vifo vya watu 10 vilivyotokana na ajali…
HABARI ZA MICHEZO Nafasi ya ushindi ipo Meridianbet leo January 1, 2026 Erasto Masalu Leo hii ni siku nzuri kwako wewe kubashiri na wakali wa ubashiri Meridianbet. Mechi kibao za pesa zipo kwaajili yako hivyo suka jamvi lako la ushindi na uibuke bingwa. EPL…
BIASHARA Meridian Panda Deluxe kukupa safari ya utulivu inayozalisha ushindi January 1, 2026 Erasto Masalu Meridian Panda Deluxe haiji kama sloti ya kushindana kwa makelele, bali kama uzoefu wa kimkakati unaojengwa juu ya nidhamu ya urahisi. Ikiwa imeundwa kwa mfumo mwepesi wa 3×3, inafanya kazi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Samia: Tutafanya maridhiano 2026 January 1, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa mwaka mpya 2026, kwa msisitizo wa maridhiano ya kitaifa, akitangaza maandalizi ya Tume ya Maridhiano, kuhimiza umoja, kusimamia uchumi na kukabiliana na…