BIASHARA Shinda Samsung A26 na Meridianbet leo January 5, 2026 Erasto Masalu Meridianbet imekuja na promosheni ya kibabe kabisa ambayo itakufanya wewe ujishindi Samsung A26 mpya kabisa endapo utafata maelekezo. Ni rahisi sana kuwa mshindi wa simu janja hii. Tengeneza jamvi lako…
BIASHARA Sherehe ya ushindi yaanza kuanza na Holiday Drops ya Meridianbet January 5, 2026 Erasto Masalu Mwaka mpya umekuja, na Meridianbet inakuleta Holiday Drops, njia yako ya kushinda zawadi zisizotarajiwa na msisimko wa kipekee wa kasino mtandaoni. Huu sio mchezo wa kawaida, ni tamasha la ushindi…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Maduro afikishwa mahakamani Marekani January 5, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Venezuela, aliyeng’olewa mamlakani, Nicolás Maduro, tayari amefikishwa katika mahakama ya New York, nchini Marekani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Rais aliyeondolewa madarakani wa alikamatwa katika…
ELIMU Mwigulu afungua skuli ya Chukwani, Zanzibar January 5, 2026 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu Mwigulu Nchemba leo 5 Januari 2026 amefungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Nchi sita zapinga kukamatwa kwa Rais wa Venezuela January 5, 2026 Erasto Masalu IKIWA ni siku moja imepita tangu vikosi vya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro, Nchi sita ikiwemo Colombia zatoa taarifa ya pamoja zikitaja shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela kuwa “mfano…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Trump amuonya kiongozi wa muda wa Venezuela January 5, 2026 Erasto Masalu RAIS Donald Trump amemuonya Rais wa muda wa Venezuela, Delcy Rodríguez, kwamba anaweza kukabiliwa na adhabu kali kuliko ya Maduro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Rais wa…
HABARI ZA MICHEZO Maisha ni mazuri ukibashiri na Meridianbet leo January 4, 2026 Erasto Masalu Wiki hii imekuwa nzuri sana kwa wale wanaoutumia Meridianbet kufanya ubashiri kwani timu za ushindi zipo hapa leo. ODDS KUBWA na mcahguo zaidi ya 1000 yapo hapa, hivyo ingia na…
HABARI MCHANGANYIKO Kweka aachiwa kwa dhamana, akaa rumande siku 7 January 3, 2026 Erasto Masalu JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limemwachia kwa dhamana Thadey Kweka ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Kweka alikuwa…
KIMATAIFA Rais Maduro kushitakiwa Marekani January 3, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, atafikishwa mahakamani nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amesema, Maduro atakabiliwa na mashitaka nchini Marekani, kutokana…
HABARI ZA MICHEZO Bashiri na Meridianbet mechi za leo January 3, 2026 Erasto Masalu Je unajua kuwa sehemu pekee ya wewe kutimiza ndoto zako ni Meridianbet pekee?. Tandika jamvi lako sasa na unanze safari yako ya kufanikiwa kimaisha kwani kwa dau dogo tuu unaibuka…