BIASHARA Badilisha kila mzunguko kuwa fursa ya kushinda na Meridian Mission January 10, 2026 Erasto Masalu Meridianbet inakuletea Missions, mfumo wa kisasa unaobadilisha michezo ya kasino kuwa uzoefu wa thamani. Hapa, kila mzunguko au kila dau si tu burudani, ni hatua inayokuwezesha kukusanya pointi na kufungua…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Rais Samia awateua Dk. Mpango na Majaliwa January 10, 2026 Erasto Masalu RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa ya kimkakati katika safu ya washauri wake, akiwateua aliyekuwa Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na aliyekuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…
HABARI MCHANGANYIKO Kushtakiwa kwa Mwandambo, kusafirishwa mpaka Dar kwaibua mashaka January 10, 2026 Erasto Masalu NI siku 12 tangu Mwanaharakati maarufu mtandaoni mwalimu wa shule ya Chekechea, Clemence Mwandambo, ambapo tarehe 10 Januari 2026, ameachiwa kwa dhamana huku akiwa chini ya uangalizi wa kutofanya kosa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Kuweni Wakatoliki kweli na sio kuvaa vijora – Ruwa’ichi January 10, 2026 Erasto Masalu ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amewahimiza waumini wa Kanisa Katoliki kuwa waumini wa kweli na sio uumini wa kubabaisha na kudanganya. Anaripoti…
BIASHARA NBC yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora Programu ya Mafunzo kwa Vitendo January 10, 2026 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imepokea tuzo ya Mwajiri Bora katika Programu ya Mafunzo kwa Vitendo (Internship Program) kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano kupitia…
HABARI ZA MICHEZO Taarifa zote za michezo zipo Meridianbet Sport Portal January 9, 2026 Erasto Masalu Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa…
BIASHARA Meridianbet yaongeza thamani ya Win&Go kupitia 10% Cashback January 9, 2026 Erasto Masalu Meridianbet imeendelea kupanua wigo wa huduma zake za kasino mtandaoni kwa kuimarisha mchezo wa Win&Go kupitia mpango wa kurejesha sehemu ya hasara kwa wachezaji wake. Hatua hii inalenga kuboresha uzoefu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kujiondoa kwa mtoto Mbowe Chaumma, kuna maanisha nini? January 8, 2026 Erasto Masalu JAMES Mbowe, mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kwa takribani miaka 20, ameomba radhi kwa kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA).…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Hesabu zakataa ushindi wa CCM January 8, 2026 Erasto Masalu MJADALA wa ushindi wa asilimia 97 ya kura zilizotangazwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025, bado ungali mbichi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
KIMATAIFA TANGULIZI Watu 100 wameuawawa shambulio la kukamatwa Maduro January 8, 2026 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Venezuela, Diosdado Cabello amesema, takribani watu 100 wameuawawa katika shambulio la Marekani la Jumamosi lililomuondoa madarakani, Rais Nicolás Maduro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…