MGOMBEA Udiwani katika Kata ya Kinyerezi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) John Mrema (Wahenga Aluminium) amesema endapo atachaguliwa kuwa diwani katika hiyo hatakuwa tayari kuona maturubai katika kipindi cha mvua kwenye bàadhi ya mitaa ikiwemo Mtaa wa Kanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Wahenga ametoa kauli hiyo mapema jana tarehe 18 Septemba 2025, katika mkutano wa hadhara wa kampeni zake uliofanyika katika kiwanja cha stendi ya zamani Kinyerezi.
Kauli ya Wahenga imekuja kufuatia matukio mbalimbali ya vifo yaliyoripitiwa kutokea katika Mtaa wa Kanga kutuatia kukosekana kwa vivuko hususani kipindi cha mvua
ZINAZOFANANA
Mwabukusi alaani Heche kutuhumiwa kwa ugaidi
Musiba akimbia siasa za upinzani, CCM
Wabunge wateule waitwa Bungeni Dodoma