March 14, 2026

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Golden Matrix Group sasa ni Meridian Holdings Inc.

Kampuni ya kimataifa ya michezo ya kubashiri na burudani ya kidijitali iliyokuwa ikijulikana kama Golden Matrix Group sasa imebadilisha rasmi jina lake na kuwa Meridian Holdings Inc. Kuanzia leo, kampuni hiyo inaanza kufanya biashara katika soko la Nasdaq Capital Market chini ya alama mpya ya hisa MRDN. Mabadiliko haya yanaashiria hatua muhimu katika safari ya ukuaji na mageuzi ya kimkakati ya kampuni hiyo katika masoko ya kimataifa.

Uamuzi wa kubadilisha jina ni sehemu ya mkakati wa kuoanisha utambulisho wa kampuni na chapa yake kuu yenye nguvu duniani, Meridianbet. Baada ya ukuaji wa kasi katika miaka ya hivi karibuni, Meridian Holdings Inc. sasa inajumuisha taasisi sita muhimu ambazo ni Meridianbet, Expanse Studios, RKings, Classics for a Cause, GMAG na Mexplay. Muunganiko huu unaonyesha uimara katika sekta za michezo ya kubashiri, burudani na teknolojia ya kidijitali.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Mageuzi haya ya kibiashara yamefuatia mafanikio ya hivi karibuni ya Meridianbet kukamilisha ununuzi wa asilimia 100 wa Fairbet Ltd., nchini Malta. Kupitia hatua hiyo, Meridianbet imeongeza mara mbili uwepo wake katika maeneo ya Malta na Gozo, ikiimarisha nafasi yake kama mwajiri na mtoa huduma mkubwa katika soko hilo.

Sambamba na mabadiliko ya jina, Meridian Holdings Inc. inapanga kutangaza mpango wa kuunganisha hisa ili kuboresha muundo wake wa kifedha. Mkakati huu unalenga kuongeza mvuto wa hisa zake kwa wawekezaji na kuoanisha thamani ya hisa na viwango vya kimataifa vya sekta ya michezo ya kubahatisha.

Akizungumza kuhusu mageuzi hayo, Afisa Mtendaji Mkuu Zoran Milosevic alisisitiza kuwa kwa Meridianbet kuwa chapa kinara na kwa kuzingatia mafanikio ya upanuzi nchini Malta, kampuni imeona ni wakati sahihi kuunganisha utambulisho wake. Alieleza kuwa lengo kuu ni kuimarisha thamani kwa wanahisa na kuhudumia kwa ufanisi zaidi masoko yote ambayo kampuni inafanya kazi.

About The Author

error: Content is protected !!