August 9, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yaiungurumisha Playson Short Races, zaidi ya bilioni 6 kutoka

 

Meridianbet imerudisha moto wa kasino mtandaoni kupitia Playson Short Races, mashindano ya kasi yanayowasha moto kila usiku kwa mashabiki wa michezo ya kubashiri Tanzania. Kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku, kila mzunguko unaoucheza unaweza kukupandisha kileleni kwenye leaderboard na kukuweka kwenye njia ya ushindi wa mamilioni ya pesa taslimu.

Kila siku, kuna mashindano 10 ya kasi yanayoendeshwa, yakitoa nafasi ya kugawana kitita cha hadi TZS Bilioni 6 kila mwezi. Kinachohitajika? Ni dau dogo tu la kuanzia TZS 600 kwenye sloti yoyote ya Playson inayoshiriki, na tayari unakua kwenye kinyang’anyiro cha ubingwa.

Hapa hakuna kusubiri, kila ushindi wako unakupa pointi zaidi, na kadri unavyopanda juu kwenye leaderboard, ndivyo unavyokaribia zawadi kubwa ya pesa taslimu. Zaidi ya hapo, washindi wote hulipwa ndani ya siku tatu tu baada ya mashindano kumalizika, moja kwa moja kwenye akaunti zao za Meridianbet.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Mashindano haya yalianza rasmi tarehe 9 Agosti na yataendelea hadi mwisho wa mwezi huu, yakiwa maalumu kwa wachezaji wa pesa halisi pekee. Hii ni nafasi ya kipekee kwa mashabiki wa Meridianbet kushinda kila siku, kupambana kuongoza leaderboard, na kuondoka na ushindi mkubwa kwa dau dogo kabisa.

Wakati wa kuishi kibingwa ni sasa. Fungua akaunti yako kupitia tovuti ya Meridianbet au app ya simu, anza kwa Tsh. 600/- na uwe sehemu ya washindi wa Playson Short Races, mbio fupi zenye zawadi kubwa zaidi Tanzania.

About The Author

error: Content is protected !!